Recent content by JaxenDL

  1. JaxenDL

    JamiiForums Tanzania Bangi: Kwanini wengine wanaifurahia, lakini wengine hupata madhara makubwa?

    share experience mkuu. Uliwahi kutumia/unamtumia?
  2. JaxenDL

    JamiiForums Tanzania Bangi: Kwanini wengine wanaifurahia, lakini wengine hupata madhara makubwa?

    Damn 🤦🏾‍♂️ Soon hautakaa kinyonge tena. Bet luck 🍀😁 I wish everyday was holiday 😁
  3. JaxenDL

    JamiiForums Tanzania Bangi: Kwanini wengine wanaifurahia, lakini wengine hupata madhara makubwa?

    Heys… Pande izi ni cool. Baada ya kazi moto zinalia as usal. U gat some today 😁 ?
  4. JaxenDL

    JamiiForums Tanzania Kama utani vile mwalimu Paulo anaweza kuja kuwa mkuu wa shule

    Wanafunzi wengi tunampenda yule mwalimu wa kujitolea.
  5. JaxenDL

    JamiiForums Tanzania Bangi: Kwanini wengine wanaifurahia, lakini wengine hupata madhara makubwa?

    Fanya indoor kabisa fungia taa na feni.. ikikua weka molases.. aisee ukila kipande umelea kuanzia punje ya mbegu hadi kwenye karatasi …Stimu yake 🔥 Ina unyama sana
  6. JaxenDL

    JamiiForums Tanzania Kabla ya Ulimwengu kuwepo, kulikuwa na nini? 🤔🌍

    Ukiwa na Imani linatimia mkuu
  7. JaxenDL

    JamiiForums Tanzania Kabla ya Ulimwengu kuwepo, kulikuwa na nini? 🤔🌍

    Unaweza kupractice sio lazima uwepo korea au japani mkuu. Swala la imani linatoka ndani na utayari wako.
  8. JaxenDL

    JamiiForums Tanzania Bangi: Kwanini wengine wanaifurahia, lakini wengine hupata madhara makubwa?

    Unakuta Bibi hana pensheni wala bima ya afya.. apo alikua anapambana aweke msosi mezani
  9. JaxenDL

    JamiiForums Tanzania Kabla ya Ulimwengu kuwepo, kulikuwa na nini? 🤔🌍

    Angalia kile unachokielewa zaidi mkuu. Haya mambo sio ya kithibitisha maabara. Just listen to your heart. Angalia unapopata amani.
  10. JaxenDL

    JamiiForums Tanzania Kabla ya Ulimwengu kuwepo, kulikuwa na nini? 🤔🌍

    Wagwan broo man, Naona swali namba tatu limebeba ujumbe mzima na kwa ufupi kabisa So far sayansi haijathibitisha kabla ya ulimwengu kulikua na nini. Swali lako kuu kutoka kwenye thread. Linahitaji falsafa na imani Sayansi haitoi maana ya maisha lakini imani na falsafa zinatupa kusudi la...
  11. JaxenDL

    JamiiForums Tanzania Video: Kijiji kizima kimenaswa kimeiba umeme Mbeya

    Mnatumia utaratibu gani ku disposal mita mbovu na nyara nyingine. Imekuwaje hizo mita mbovu zimeangukia kwenye mikono ya wananchi. Shida inaanzia kwenye utendaji wa shirika. Wafanyakazi wa wenu wamechukua mita mbovu na kwenda kuwaunganishia wananchi. Aliyehujumu shirika apo ni nani ...
  12. JaxenDL

    JamiiForums Tanzania Bangi: Kwanini wengine wanaifurahia, lakini wengine hupata madhara makubwa?

    Damn. Jamuhyri haina swalia mtume 🤦🏾‍♂️🥹
  13. JaxenDL

    JamiiForums Tanzania Bangi: Kwanini wengine wanaifurahia, lakini wengine hupata madhara makubwa?

    Kwa sasa imeadimika. Lakin ipo ukitafuta vizuri ukanda huo
  14. JaxenDL

    JamiiForums Tanzania Niffer: Ushindi wa Jihan usingepatikana kama sio pesa kutoka kwa Rais Samia na Serikali!

    Ataalikwa ikulu akirudi. Lazima amtukize mama
  15. JaxenDL

    JamiiForums Tanzania FT: Kariakoo Derby | Simba 2-1 Yanga | NBC Premier League | Uhuru Stadium | 10.10.2026 |

    Nachoka mimi Mwnanchi ..🤦🏾‍♂️
Back
Top Bottom