Recent content by Jasusi Uchwara

  1. Jasusi Uchwara

    JamiiForums Tanzania Rais Samia aanza kurekodi kipindi maarufu cha ‘Royal Tour’ kuitangaza Tanzania kimataifa kupitia vivutio ya utalii

    Itachukua miaka 60 nyingine kama si karne nzima kwa taifa letu kupata rais aliye serious na kazi na kujenga uchumi na nidhamu, Ewe mungu nakuomba utupatie kiongozi shupavu mwrnye hulka na tabia za magufuli ..
  2. Jasusi Uchwara

    JamiiForums Tanzania Serikali ina option tatu tu dhidi ya mbowe.

    1:DPP kumfutia mbowe mashitaka, nalo litamuongezea popularity kubwa na confidence ya kudai katiba. 2.Mahakama iamue kesi hii, na mbowe akishinda basi ni aibu kwa serikali. 3.Mbowe wamfunge jela miaka 30, na kwa nature ya kesi hii ya ugaidi ni miaka 30 au kunyongwa. Serikali ya samia imejitia...
  3. Jasusi Uchwara

    JamiiForums Tanzania Polisi msilete ubaguzi na uchonganishi, "Gaidi mfia dini" ndio nani?

    DCI ndiye shetani gani?
  4. Jasusi Uchwara

    JamiiForums Tanzania Ni sababu zipi zilimfanya Hamza kuwa Gaidi?

    Jamii ya Sasa ina uelewa mkubwa Sana tofauti na jamii iliyowahi kuongozwa na kina Nyerere, Mkapa, Mwinyi na Kikwete. Huwa nasema kuwa Viongozi wetu wasipoijua jamii wanayoiongoza watapatwa na taabu na kudharaulika kila Siku. Kwa Tanzania Sasa hivi haishangazi kukuta Graduate anaendesha Bodaboda...
  5. Jasusi Uchwara

    JamiiForums Tanzania Kumvisha Rais Life Jacket inayobana kiasi hiki sio sawa

    Samiaphobia
  6. Jasusi Uchwara

    JamiiForums Tanzania Vita ndani ya mihimili ya Dola: Mbona hawa hawakuhojiwa?

    Mods fanyeni marekebisho isome Vita ndani ya mihimili ya Dola
  7. Jasusi Uchwara

    JamiiForums Tanzania Vita ndani ya mihimili ya Dola: Mbona hawa hawakuhojiwa?

    Kuanzia jumapili tutashuhudia mengi, Ndugai anamtisha Waziri wa Mambo ya Ndani kuwa wasipomdhibiti Gwajima, atahojiwa waziri mbele ya Kamati ya Maadili. Ndugai, Waziri Wkuu aliudanganya umma kuwa Rais Magufuli haumwi kabisa na hana tatizo lolote tena aliyasema mbele ya waumini siku ya ijumaa...
  8. Jasusi Uchwara

    JamiiForums Tanzania Kilio cha akina Mama Kisutu kitaondoka na nafsi ya kiongozi mkubwa nchini

    Nimemiss msiba wa kitaifa
  9. Jasusi Uchwara

    JamiiForums Tanzania Familia ya muuaji wa Askari (Hamza) imeomba radhi

    Hamza is not terrorist, tuheshimiane
  10. Jasusi Uchwara

    JamiiForums Tanzania Watoto wa IGP Sirro nani anawafahamu? Tabia zao zikoje?

    Yule hajazaa, kazalishiwa na mahausi boy wake
  11. Jasusi Uchwara

    JamiiForums Tanzania Sijaona dalili yoyote ya ugaidi tukio la Selander jana 25/8/2021

    Ugaidi ni nini??
  12. Jasusi Uchwara

    JamiiForums Tanzania Sijaona dalili yoyote ya ugaidi tukio la Selander jana 25/8/2021

    Hii inagusa kipengele cha jamii, magaidi hulenga jamii fulani kwa lengo fulani......
  13. Jasusi Uchwara

    JamiiForums Tanzania Sijaona dalili yoyote ya ugaidi tukio la Selander jana 25/8/2021

    Hapa ndipo penye hoja, Gaidi ni nani? Sifa za gaidi ni zipi?
  14. Jasusi Uchwara

    JamiiForums Tanzania UTEUZI: Latifa Mohamed Khamisi ateuliwa kuwa Mkurugenzi Mkuu TANTRADE

    Mzanzibar mwenzao tena
  15. Jasusi Uchwara

    JamiiForums Tanzania Sijaona dalili yoyote ya ugaidi tukio la Selander jana 25/8/2021

    Ni gaidi kwa hisia za kimtandoa na ile phobia waliyotengenezewa watu wakisikia mtu anatamka maneno ya kiarabu, but sisi wana taaluma wa maswala ya usalama tunaona kuwa siyo terrorism kwa sababu tukio hilo halijagusa maeneo makuu manne ambayo wataalamu wa mambo ya usalama na counter terrorism...
Back
Top Bottom