Nlikutana na poti mmoja bar akaniomba nimnunulie bia nkamkazia....ikapita wiki nkakutana nae road akanchapa faini ya kingese 🤣🤣🤣🤣polisi wote motoni aisee
Nlikuwa nakula mbususu moja barmaid kumbe kuna poti naye anafkuzia...daah sku moja nko zangu bar napga knywaji akaja na wenzake wa 3🤣🤣wakanambia nko chini ya ulinz wakanisachi...jamaa likanchomekea kipisi cha bangi......tayar nkapewa kesi ya madawa ya kulevya kisa malaya wa bar 🤣🤣🤣🤣🤣
Nlimuuzia jamaa tv(chogo) akakaa nayo mwezi ikamfia akaja nidai ninrudishie pesa nakachomoa...mzee ilikuja pira ya polisi mpaka geto....🤣🤣nkasombwa mpaka kituon nkapewa kesi ya uhujumu uchumi...eti nafanya biashara bila leseni kmmk 🤣🤣🤣2015
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.