Recent content by Jason Simpson

  1. J

    JamiiForums Tanzania Kiingereza kinachoandikwa kwenye blogs za Kitanzania

    Mimi nina mfano ambao hupo nyumbani kwangu, mke wangu kamaliza form 4 amekuja hapa UK miaka 6 iliyopita ss na mm nina miaka 20 hapa ss na sio nasema kwamba ninaju lugha ya kingereza kwa ufasaha apana, lakini ukimwambia umekosea hapo weeeeeeeeeeeee, hatari kwa hivyo wabongo ndo matatizo yetu...
  2. J

    JamiiForums Tanzania Kiingereza kinachoandikwa kwenye blogs za Kitanzania

    Hiyo ni kweli mdau na hizi blog sinasomwa na watu wengi tu, lakini mm naona kuna tatizo moja; mtanzania ukimwambia ajui kingereza na yy amesoma form 4 au 6 hata chuo, anakuwa ataki kuwambiwa kitu anaona kama anapondwa au unamponda. Mawazio yako uliyosema ni mazuri sana, kwani unaona watu au wana...
  3. J

    JamiiForums Tanzania Waziri Angela Kairuki: Uhakiki wa vyeti haujafanywa kwa Viongozi walio katika nafasi za kisiasa!

    JAMANI WATANZANIA WENZANGU AIBU KUBWA SANA TU. DUH! MM HAPA NINACHEKWA, YANI SIWEZI HATA KUSEMA. VITENDO VINAVYO ENDELEA HIVI SS NA VIONGOZI WA TANZANIA ..........
  4. J

    JamiiForums Tanzania Kibiti, Pwani: Majambazi yaua Askari Polisi NANE(8)

    Sawa kabisa ndivyo alivyokuwa huko Kibiti mm nina mtu yupo karibu na hilo swala
  5. J

    JamiiForums Tanzania TWAWEZA: Kiingereza bado tatizo, 52% ya darasa la 7 hawawezi kusoma hadithi ya darasa la 2

    WW in 1 wa wengi ambao wanavyeti vya ukweli lakini mm nasema wengi sana wako ktk hiyo kundi ninalolizungumzia mm. Hongela kwa kufanya vizuri
  6. J

    JamiiForums Tanzania TWAWEZA: Kiingereza bado tatizo, 52% ya darasa la 7 hawawezi kusoma hadithi ya darasa la 2

    Ahasanteni sana kwa majibu ya ukweli !!!!
  7. J

    JamiiForums Tanzania TWAWEZA: Kiingereza bado tatizo, 52% ya darasa la 7 hawawezi kusoma hadithi ya darasa la 2

    waalimu wengi sana siku hizi ni division 4 ( 0) anakwenda chukua ualimu ndo ajira rahisi na wengine wananunu vyeti. Kuna elimu hapo???? Jamani tuzungumze ukweli!!!
  8. J

    JamiiForums Tanzania TWAWEZA: Kiingereza bado tatizo, 52% ya darasa la 7 hawawezi kusoma hadithi ya darasa la 2

    Jamani ninauliza kuna mwalimu yoyote ( Tanzania ) ambae amepata division 1 form 6 akaenda chuo akamaliza na bado anafundisha shule ya msingi na anazowefu wa miaka 5??????
  9. J

    JamiiForums Tanzania Waziri wa mambo ya ndani jiuzulu, hali sio shwari

    Huyu JPM anajaribu akiona watanzania kimya basi atafanya kama Rwanda na Uganda. Bashite nikama mtu ambaye anafanya hiyo kazi mambo yakiwa poa basi mwendo utakuwa ndo huo. Tukae tayari
  10. J

    JamiiForums Tanzania Waziri wa mambo ya ndani jiuzulu, hali sio shwari

    Ni lazima waziri angesema chochote kuhusu hili, lakini siasa ni ajira Bongo ataki kumwaga unga.
  11. J

    JamiiForums Tanzania TWAWEZA: Kiingereza bado tatizo, 52% ya darasa la 7 hawawezi kusoma hadithi ya darasa la 2

    Hili swali ni rahisi tu, lakini watanzania hasa viongozi wetu wanapenda kuzungusha vitu na vikao kutafuta pesa. Kumbuka elimu ya kiswahili ktk shu Kwa kweli swala hili ni la muhimu na inabidi labda tulidi hapo mwanzo kabla ya mwaka 1968 wakati shule za msingi zikifundisha lugha ya kingereza...
  12. J

    JamiiForums Tanzania VIDEO: Msanii Roma na wenzake warejea rasmi uraiani. Kufunguka Jumatatu

    Hii obviously, Roma alikuwa ameshikiliwa na vyombo nya dola, sasa watanzania tujiulize kwa nini? Je tufanye nini? Maana hata wabunge wetu ambao tumewachagua ( CCM) wanashindwa kusema chochote adharani kwa kuogopa.
Back
Top Bottom