Recent content by jasmine jamil

  1. J

    JamiiForums Tanzania Shuhuda nyingi za 'wanaompokea bwana' makanisani huwa za uongo

    Nilikutana na rafiki yangu mmoja week iliyopita Jumapili akawa ameniomba sana sana niende kanisani kwake, mimi ni muislam alinishawishi sana Jumapili kweli nikaenda wana kipindi chao cha shuhuda, akaenda mbele akasema alikuwa ananiombea sana rafiki yake niokoke na kweli eti nimekubali kuokoka...
  2. J

    JamiiForums Tanzania Mume wa Kiislamu anahitajika

    sawa ila naona aibu kuwa na kijana mdogo
  3. J

    JamiiForums Tanzania Mume wa Kiislamu anahitajika

    hata siwaelewi wana matatizo gani wapo wanadai mashari magumu kuna shari gani nimeweka?
  4. J

    JamiiForums Tanzania Mume wa Kiislamu anahitajika

    masharti yapi?
  5. J

    JamiiForums Tanzania Mume wa Kiislamu anahitajika

    Mimi ni mwanamke wa kiislam natafuta mume wa kiislam tu Miaka yangu ni 30-35 Mume naemtaka awe 35-40 Awe mchapa kazi mwenye kujishughulisha na maendeleo Awe mtu wa dini asipende zinaa wala shirk yoyote. Mawasiliano jasminejamil2016@gmail.Com
Back
Top Bottom