Recent content by jasmin jerry

  1. J

    JamiiForums Tanzania Lowassa anafanya kampeni za wazi

    Umeandika ukiwa na hofu ya nini? Hariri basi habari yako
  2. J

    JamiiForums Tanzania Ajira Utumishi - Recruitment portal

    Msaada nimejaza sehemu zote ila inaishia 54% nimekosea wapi? Nime-upload barua ya kuomba kazi na cheti cha chuo, vyeti vingine na CV na-upload wapi? Nawezaje kufikisha 70%? Msaada waungwanga. Nimedata, kweli tehama ni kazi kwa mimi kayumba
  3. J

    JamiiForums Tanzania Ajira Utumishi - Recruitment portal

    blessed lenny naomba msaada, nimejaza kila mandatory field na field nyingine zote. Nadhani kwenye vyeti ndio nimebugi, kwani nime upload vitu viwili University Certificate na Application letter tu. Na mzigo umefika 54%, inakataa ku-priview wala ku-apply. Sijui nakosea wapi. Duh tehama majanga...
  4. J

    JamiiForums Tanzania Ajira Utumishi - Recruitment portal

    Nimejaribu ila sijaelewa kitu, wapi nina upload vyeti vya secondary? Ngoma imegota 54% na sehemu zote muhimu nimejaza kuku wa kienyeji msaada tutani
  5. J

    JamiiForums Tanzania Press conference: Lowassa apelekewa ujumbe mzito

    Hivi huyu mzee akiwa raisi mtaweka wapi macho yenu? Hit hard while u can...subiri aki-strike usije lia lia kama yule aliyehonga million 50 ipsos wamuweke number 1 wakati hauziki hata kwa ndimu...mwingine kawatia mfukoni Push Observer yeye na Prof waonekane wana kubalika. EL anawakosesha...
  6. J

    JamiiForums Tanzania Lowassa atumia zaidi ya Sh. milioni 500 ili ashinde Tuzo ya Mwanasiasa mwenye Mafanikio katika Jamii

    Fallacy... Ushahidi uko wapi? Lizaboni una chuki na mzee wa watu kuna siku utasema ndie huwatuma watu wakamate albino. Kuwa mkweli na kweli itakuweka huru siku zote, huyu mzee amekukosea nini?
  7. J

    JamiiForums Tanzania Rich Mavoko: Sijajichubua, ninang'aa tu

    Ni maisha yake, let him do whatever he wish to do. Akipata madhara hatakuja kutembeza bakuli
  8. J

    JamiiForums Tanzania Hivi Sugu alipata wapi mwanamke wa namna hii?

    Cheap popularity, bongo movie lazima hustle za kipuuzi kama hizo za kujidhalilisha.
  9. J

    JamiiForums Tanzania Diamond Platnumz kualikwa Ikulu kila wakati, kunani?

    Team neutral napita tu
  10. J

    JamiiForums Tanzania Wasanii wa Bongofleva hawawezi kupiga show live, tatizo nini?

    shule majanga, muziki sio kwenda kwa Mazou akugongee auto tuner then unakuja jukwaani lazima ukorome
Back
Top Bottom