Recent content by Jasimny Ally

  1. J

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli kumteua Naibu DG wa TISS kuwa Katibu Tawala: Jicho la pili...

    Uwiii mi namuona brother Chahali bado yupo kitengoni maana siyo kwa infor zote hizi Alafu kumbe alikuwa anawasiliana na bwana Mkubwa alyepelekwa Tabora !!!!!! Acha nikae kimya Huyu shushushu wa mtandaoni asije akateka akili yangu na kunipotosha wakati Anakula nao sahani moja.
  2. J

    JamiiForums Tanzania Wabunge wa CHADEMA wakiwa kwenye kikao cha dharura kinachoendelea muda huu katika ofisi za Umoja wa Ulaya (EU)

    Siku ni uelewa wangu mdogo au maana huwa naamini mabalozi wote ni majasusi sasa CHADEMA kufanyia kikao kwenye ofisi Yao ni lazima watadig taarifa kwa maslahi ya nchi yao watajifanya wanatusaidia katika wakati huu mgumu kumbe wanashangilia kwa sisi kujipeleka kwao tuwe na uvumilivu viongozi wetu...
  3. J

    JamiiForums Tanzania Taazia: Dr. Aman walid Kaburou na Manju Msambya

    Apumzike kwa Amani mzee wetu, Tulimpenda ila Mungu kampenda zaidi.
  4. J

    JamiiForums Tanzania WanaCHADEMA, Msitishwe tu chukueni hatua.

    Asante maana Huko tunakoelekea kuna watu wataanza kujitisha wenyewe.
  5. J

    JamiiForums Tanzania Watanzania wavurugana kisa Rais

    Leo hii lazima tumuone ni mbaya lakini akijakutoka madarakani tutamlilia na kumuona ni shujaa. Siku zote kitu kizuri Hutambulika Baada ya kukikosa. Tupige moyo konde.
Back
Top Bottom