WanaCHADEMA, Msitishwe tu chukueni hatua.

MAHANJU

JF-Expert Member
Joined
Aug 26, 2014
Posts
5,255
Reaction score
8,027
Mimi nashangaa tu hizi kelele za kutishwa tishwa maisha halafu mnaishia kupiga kelele tuu, matokeo yake mnaowapigia kelele hawaelewi chochote na baadae yanaweza kuhisiwa kama mzaha na yakawapata yaliyompata ndugu yetu Tundu Lissu.

Mtu akikutishia, toa taarifa kwenye vyombo vya usalama na baada ya hapo jione kua hauko salama. Chamsingi chukua hatua ya kuanza kupambana naye. Ishi kwa tahadhari, kama huna mbinu ya kuishi katika mazingira ya kutishwa watafute wataalam wa mambo ya kiusalama watakusaidia. Mtu akikutunishia misuli nawe mtunishie misuli,akikutisha nawe mtishe, yaani usipuuzie vitisho vyake huku ikiishi kwa tahadhari. Watu wapo wanasiasa wakongwe waliokulia kwenye siasa za vitisho pia mwaweza kupata ushari namna ya kuishi.

Wewe watu wasiofahamika wanakutafuta ikiwa wao hawana utambulisho wowote, hao ni maadui zako pambana nao. Jiwekee ulinzi binafsi kwenye mazingira yako yote ikiwa ni pamoja kuanzia kwenye usafiri wako,nyumba yako na hata vyakula unavyokula. Siasa hua ni mchezo mchafu, kuna watu hawana hofu ya Mungu,wao kuutoa uhai wa mtu hawaoni shida. Hivyo haina haja ya kupiga kelele, adui Pambana nae.

Inawezekana kabisa hata ndani ya vyama vyetu hivi vya siasa kuna magenge mabaya sana yanayoweza kutekeleza matukio makubwa kama haya,inawezekana wapo wakereketwa ndani ya vyama vya siasa wapo watu wenye mafunzo maalumu ya kuumiza watu tofauti na inavyohisiwa na wengi wetu.

Ukiona hawa watu wasiojulikana wamekuchosha, unaweza kuongozana nao ukawawekea mtego nawe ukaandaa walinzi wako ukawajaza kwenye gari tinted ukajifanya naelekea hata nje ya mji ikuwa wale walinzi wako ukawaweka kwenye usafri wako mwingine,wakitokea hawa watu siojulikana wanakufuatilia basi ile gari uliyojaza walinzi wako nayo iwe ya tatu baada ya gari yako na dereva( na humo pia weka walinzi kadhaa), Wakishuka na wanakutaka ushuke kwenye gari yako au wanataka kukudhuru basi walinzi wako nao itabidi washuke kupambana nao ikiwezekana wawashughulikie. Tusibaki kulialia, hata spika ndungai alusema tuishi kwa tahadhali hivyo tnami namuunga mkono.
 
Kingine waende kwa waganga wa kienyeji huko Nigeria, ili walioshiriki tukio LA lissu na SAA nane wapigwe vipande vya hatari ili wawe mazezeta!
 
Ukizingatia chama kina ruzuku, INA maana pesa IPO, nendeni Nigeria kwa wataalam wakae hata week tatu, mjue waliohusika ktk matukio yote mnayolalamika, then wahusika wapigwe vipande wawe mazezeta! Kelele za nini?
 
Mimi nashangaa tu hizi kelele za kutishwa tishwa maisha halafu mnaishia kupiga kelele tuu, matokeo yake mnaowapigia kelele hawaelewi chochote na baadae yanaweza kuhisiwa kama mzaha na yakawapata yaliyompata ndugu yetu Tundu Lissu.

Mtu akikutishia, toa taarifa kwenye vyombo vya usalama na baada ya hapo jione kua hauko salama. Chamsingi chukua hatua ya kuanza kupambana naye. Ishi kwa tahadhari, kama huna mbinu ya kuishi katika mazingira ya kutishwa watafute wataalam wa mambo ya kiusalama watakusaidia. Mtu akikutunishia misuli nawe mtunishie misuli,akikutisha nawe mtishe, yaani usipuuzie vitisho vyake huku ikiishi kwa tahadhari. Watu wapo wanasiasa wakongwe waliokulia kwenye siasa za vitisho pia mwaweza kupata ushari namna ya kuishi.

Wewe watu wasiofahamika wanakutafuta ikiwa wao hawana utambulisho wowote, hao ni maadui zako pambana nao. Jiwekee ulinzi binafsi kwenye mazingira yako yote ikiwa ni pamoja kuanzia kwenye usafiri wako,nyumba yako na hata vyakula unavyokula. Siasa hua ni mchezo mchafu, kuna watu hawana hofu ya Mungu,wao kuutoa uhai wa mtu hawaoni shida. Hivyo haina haja ya kupiga kelele, adui Pambana nae.

Inawezekana kabisa hata ndani ya vyama vyetu hivi vya siasa kuna magenge mabaya sana yanayoweza kutekeleza matukio makubwa kama haya,inawezekana wapo wakereketwa ndani ya vyama vya siasa wapo watu wenye mafunzo maalumu ya kuumiza watu tofauti na inavyohisiwa na wengi wetu.

Ukiona hawa watu wasiojulikana wamekuchosha, unaweza kuongozana nao ukawawekea mtego nawe ukaandaa walinzi wako ukawajaza kwenye gari tinted ukajifanya naelekea hata nje ya mji ikuwa wale walinzi wako ukawaweka kwenye usafri wako mwingine,wakitokea hawa watu siojulikana wanakufuatilia basi ile gari uliyojaza walinzi wako nayo iwe ya tatu baada ya gari yako na dereva( na humo pia weka walinzi kadhaa), Wakishuka na wanakutaka ushuke kwenye gari yako au wanataka kukudhuru basi walinzi wako nao itabidi washuke kupambana nao ikiwezekana wawashughulikie. Tusibaki kulialia, hata spika ndungai alusema tuishi kwa tahadhali hivyo tnami namuunga mkono.
Haaa! Mapanga shaaa! Ninjaaaa! kwahiyo na Wao wawe na Watu wasio Julikana Nasema Hapana Sivyo nchi inavyo endeshwa Hiyo ni Hatareeee! Ila Ikishindikana ndio huko tunako elekea itakuwa hakuna kumfunga Paka Kengele aka 'Nguvu ya Umma' Mob Actions
 
Mimi nashangaa tu hizi kelele za kutishwa tishwa maisha halafu mnaishia kupiga kelele tuu, matokeo yake mnaowapigia kelele hawaelewi chochote na baadae yanaweza kuhisiwa kama mzaha na yakawapata yaliyompata ndugu yetu Tundu Lissu.

Mtu akikutishia, toa taarifa kwenye vyombo vya usalama na baada ya hapo jione kua hauko salama. Chamsingi chukua hatua ya kuanza kupambana naye. Ishi kwa tahadhari, kama huna mbinu ya kuishi katika mazingira ya kutishwa watafute wataalam wa mambo ya kiusalama watakusaidia. Mtu akikutunishia misuli nawe mtunishie misuli,akikutisha nawe mtishe, yaani usipuuzie vitisho vyake huku ikiishi kwa tahadhari. Watu wapo wanasiasa wakongwe waliokulia kwenye siasa za vitisho pia mwaweza kupata ushari namna ya kuishi.

Wewe watu wasiofahamika wanakutafuta ikiwa wao hawana utambulisho wowote, hao ni maadui zako pambana nao. Jiwekee ulinzi binafsi kwenye mazingira yako yote ikiwa ni pamoja kuanzia kwenye usafiri wako,nyumba yako na hata vyakula unavyokula. Siasa hua ni mchezo mchafu, kuna watu hawana hofu ya Mungu,wao kuutoa uhai wa mtu hawaoni shida. Hivyo haina haja ya kupiga kelele, adui Pambana nae.

Inawezekana kabisa hata ndani ya vyama vyetu hivi vya siasa kuna magenge mabaya sana yanayoweza kutekeleza matukio makubwa kama haya,inawezekana wapo wakereketwa ndani ya vyama vya siasa wapo watu wenye mafunzo maalumu ya kuumiza watu tofauti na inavyohisiwa na wengi wetu.

Ukiona hawa watu wasiojulikana wamekuchosha, unaweza kuongozana nao ukawawekea mtego nawe ukaandaa walinzi wako ukawajaza kwenye gari tinted ukajifanya naelekea hata nje ya mji ikuwa wale walinzi wako ukawaweka kwenye usafri wako mwingine,wakitokea hawa watu siojulikana wanakufuatilia basi ile gari uliyojaza walinzi wako nayo iwe ya tatu baada ya gari yako na dereva( na humo pia weka walinzi kadhaa), Wakishuka na wanakutaka ushuke kwenye gari yako au wanataka kukudhuru basi walinzi wako nao itabidi washuke kupambana nao ikiwezekana wawashughulikie. Tusibaki kulialia, hata spika ndungai alusema tuishi kwa tahadhali hivyo tnami namuunga mkono.

Asante maana Huko tunakoelekea kuna watu wataanza kujitisha wenyewe.
 
Wewe haujajuwa tu kinachoendelea,pindi utakapojaza watu ktk gari utaambiwa unafanya maandamano.
 
chamsingi hapa igp sirro ukishasikia kuna mtu anafuatiliwa jalibu kutengeneza mtego kwa hyo mtu anayefuatiliwa maana hata mh.lissu alitowa taarifa hivhivi mkapuuza matokeo yake akapiga lisasi kwa hiyo weka ulinzi kwa nassari kwa siri hao wanaomufuatilia wataingia tu kwenye mtego utawakamata tumechoka kusikia wasiojulikana halafu kingine watu wanaongopa kutoa taarifa polisi kwa sababu kuna polisi sio waaminifu wanaoshilikiana na hao wasiojulikana maana jeshi la polisi siku hizi hatuwaamini sasa basi ifikemwisho
 
Tatizo watu wapo huku na kule maana wanahama kila cku toka chama kimoja na kwenda kingine
 
Back
Top Bottom