Recent content by jaruri

  1. jaruri

    Hizi ndio Taasisi zenye mishahara minono Tanzania

    Vipi kuhusu NACP ,salary Yao ni sh ngapi? Na vipi kuhusu activities
  2. jaruri

    Kuajiriwa mara ya pili

    Wadau naomba kujua kwamba kwa mtu ambae ana check namba Kisha akaomba ajira serikalini lakini kwenye kurugenzi tofauti. Mfano alikuwa Tamisemi akaomba kwa Katibu Mkuu akapata ,vipi anaweza endelea na cheque namba yake ya awali?
  3. jaruri

    Hivi haiwezekani kukamilisha upepelezi wa kesi ya mtuhumiwa yeye akiwa uraiani?

    Kwa wataalamu wa sheria,napenda kujua kuwa je,hamruhusiwi kisheria kukamilisha upelelezi wa mtuhumiwa wakati yeye yupo uraiani,,naona kuna watu wanakaa mahabusu mda mrefu na wakienda mahakamani wanaambiwa waendelee kukaa rumande hii imekaaje,,,!!
  4. jaruri

    Gharama kitambulisho Cha wajasiriamali iangaliwe upya

    Kama wapo humu waambie nimeliona Hilo,mimi Niko huku chini,najua shida za watanzania kuliko wao,,na hawa wanaopinga hii hoja nadhani hawajui maisha wanayoishi watanzania wanyonge,,
  5. jaruri

    Gharama kitambulisho Cha wajasiriamali iangaliwe upya

    Wewe utakuwa sio mtanzania,,haya niambie muuza karanga za kukaanga,ananunua karanga kwa sh 2500/=,dumu mbili 5000/= anauza apate faida ya sh 3000/=,,haya unataka akupe 20000/= Ni zaidi hata ya mtaji wake ,unataka afanye Nini akafe na njaa au???
  6. jaruri

    Gharama kitambulisho Cha wajasiriamali iangaliwe upya

    Nimekaa nikatafakari kuhusu gharama ya sh 20,000/= wanayolipia wafanya biashara wadogo ambao mitaji yao Ni chini ya Shilingi milioni nne,naona haina uhalisia. Wafanya biashara ambao mitaji yao ni chini ya milioni 4 Ni kundi kubwa mno ambalo linahitaji kuchanganuliwa zaidi,Kuna wenye mtaji ambao...
  7. jaruri

    Waraka kwa CHADEMA na Maaskofu

    , Hakuna anaewadhalilisha,,tunaongea fact,,huwezi kuihusisha moja kwa moja serikali na matukio ya uhalifu,,jamii inao wajibu wa kuisaidia serikali na vyombo vya dola kufichua wahalifu kwani tuko nao katika jamii,kuna mifano nimetoa hapo juu ya matukio ya vifo vya watu ambavyo mwisho wa siku...
  8. jaruri

    Waraka kwa CHADEMA na Maaskofu

    Siasa sio mambo ya kiroho,,washughulike na watu kuacha uovu,,hii itakuwa suluhisho LA kukoma kwa maovu mengi hata mauaji
  9. jaruri

    Waraka kwa CHADEMA na Maaskofu

    Jifunzeni namna ya kukosoa,,kama vipi mkae kimya subirini 2020 mkosoe kipindi cha kampeni mpate kura
  10. jaruri

    Waraka kwa CHADEMA na Maaskofu

    The definition of oppression is very subjective ,being obedient to the authority put on earth by God is never oppression ,,but trying to overthrow the chosen government is a trison and you know the proportional penalty
  11. jaruri

    Waraka kwa CHADEMA na Maaskofu

    Hahahahahaa acha mzaha kamanda,ila ukweli ni kuwa CDM watatupeleka pabaya sana
  12. jaruri

    Waraka kwa CHADEMA na Maaskofu

    Hoja hizo hapo,acha kupayuka jibu hoja
  13. jaruri

    Waraka kwa CHADEMA na Maaskofu

    Hapa kazi tu,,
  14. jaruri

    Waraka kwa CHADEMA na Maaskofu

    Nitumie fursa hii kukumbusha machache,, Mosi Rais wa awamu ya tano alichaguliwa na wananchi katika uchaguzi wa mwaka 2015,uchaguzi ulijumuisha vyama vyote akina CHADEMA wakiwemo.Wananchi kupitia kura zao waliikataa CHADEMA na viongozi wao,njia sahihi na ya kidemokrasia ni kusubiri 2020. PILI...
Back
Top Bottom