Recent content by jaqkzy3090

  1. J

    JamiiForums Tanzania Msaada wa mchanganuo wa bei na miundombinu kuanzisha kituo cha mafuta (petrol station)

    Mtaji ni shiling ngapi mpaka kufunga limashine lile kama ukitaka kuanzisha sheli ya mafuta ya taa tu
  2. J

    JamiiForums Tanzania Msaada: Nimeitwa Written Interview Chuo Kikuu Mzumbe

    Karibu sana Mzumbe
  3. J

    JamiiForums Tanzania Samsung note 2 na LG3 cat6 kwa bei chee

    Nauza samsung note 2, LG3 cat6 na LG prada. Simu zote ni original made from Korea. Note 2-380,000Tsh LG3- 400,000Tsh LG prada- 350,000Tsh Nicheki PM
  4. J

    JamiiForums Tanzania Projector mpya inauzwa 380,000Tsh

    Projector aina ya TOSHIBA inauzwa kwa 380,000Tsh tu. Ni mpya iko na remote yake na case. For serious buyers only. Nicheck PM
  5. J

    JamiiForums Tanzania Je Computer/Laptop yako ina shida yoyote? wasiliana nasi upate suluhisho sasa.

    Mnayo keyboard ya acer aspire one D255? Nataka mnibadilishie imekufa
  6. J

    JamiiForums Tanzania Brand new Samsung J5 for sale

    Nauza LG 3 original kwa tsh 350000, samsung galaxy alpha kwa tsh laki 4, Note 2 kwa lak 3 na nusu na LG prada kwa laki 3. Simu zote ni original
  7. J

    JamiiForums Tanzania Manji na Gwajima waondolewa Kituo cha Polisi na gari jeupe chini ya ulinzi kuelekea katikati ya jiji

    Sasa kama wanauza lakini hawatumii???
  8. J

    JamiiForums Tanzania LG inakataa kusupport huduma za m pesa na tigo pesa

    Wakuu habari za humu. Naomba msaada kwa yeyote atakayeweza kufungua simu yangu aina ya LG iweze kusupport huduma za tigo pesa na m pesa. Shukurani kwenu
  9. J

    JamiiForums Tanzania Wauza smartphone tukutane hapa

    Nauza samsung galaxy note 2,3 na alpha. Pia ninazo LG3. Simu zote ni mpya na ni orijino line moja. Bei Note 2- 450,000 Note3- 550,000 Samsung galaxy alpha- 600,000 LG3- 550,000 Napatikana Dodoma. Morogoro na Dar unaweza kuzipata pia kwa makubaliano Serious buyers niPM
  10. J

    JamiiForums Tanzania Mjadala Maalum: Wanaosaka ajira nje ya Tanzania

    Wakuu kwa anayetaka kuja korea ya kusini (South Korea) aje inbox tufanye mambo. Nina nafasi 4 tu. Njoo inbox tuongee
Back
Top Bottom