Huyu jamaa anaitwa Exaud Molla yupo kigamboni asee huyu jomba ni hatari Kwa mageti,madirisha na parking za gari
Ana mtaji wa kutosha hizo ni baadhi ya kazi zake nimeona nishee nanyi
Wadau naomba kujua kazi ya hii mifuko huko juu ya daraja maana kunawakati niliona ikiwa mingi Sana imetapakaa daraja lote
Ajabu ni kwamba kwa Sasa ipo michache upande mmoja lakini ukijaribu kuanga lia kwa umakini huko juu huoni kilicho ongezeka
Kuna wakati nilihisi ndio kokoto zinapandishwa...
HIVI KILICHO WAFANYA MKATE UMEME LEO 4/04/2021 PASAKA HII NI NINI MBONA MNA MAMBO YA HOVYO HIVYO MNATAKA WOTE TUWE NA HUZUNI KILAZIMA
HII LAINI YA mongola dege /gongolamboto
Hapa inategemea mikataba waliyo ingia Kati ya mwajiri na mwajiriwa ukirejea katika mkataba wa ajiri utajua wanapaswa kulipwa au la
Mikataba ya wafanya kazi inatofautiana Kati ya makampuni hivyo kulipwa ama la tumsubiri bosi wa wasafi aje kutujibu
Sent from my Infinix X687 using JamiiForums...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.