Recent content by Japidi

  1. J

    JamiiForums Tanzania Baada ya Tundu Lissu kuangukia pua Mahakamani, Spika Ndugai asema ukiheshimu mamlaka huwezi kupata matatizo

    Mwenye akili anajua kinachoendelea .malipo hapa duniani,tenda wema ili ujengee maisha ya watoto na hata wajukuu wako kwa maamuzi unayofanya sasa.
  2. J

    JamiiForums Tanzania Baada ya Tundu Lissu kuangukia pua Mahakamani, Spika Ndugai asema ukiheshimu mamlaka huwezi kupata matatizo

    Kumfanyia mwenzako vibaya alafu unasherekea ujue kuwa unakaribisha mabaya zaidi juu yako.
  3. J

    JamiiForums Tanzania Mshahara wa July 2019 vipi?

    Mshahara wa mwezi wa sita ulilipwa tarehe 19 hadi leo ni siku 32.
  4. J

    JamiiForums Tanzania Mara ya kwanza Kuonana na Prof Palamaganda Kabudi. Siwezi isahau

    Kumbe unawaza ukimwona chuoni mimi nimwona wakati mchakato wa katiba mpya alikuwa anaongea mpaka mate yanajaa mdomoni.
  5. J

    JamiiForums Tanzania The Power of Karma- Ndio hukumu pekee ya haki kamili hapa Duniani. Unahukumiwa kwa matendo yako!

    Good analysis Paschal.mkui uko vizuri.siku ulimiza Rais maswali magumu lakini akaanza kukwepa kutoa mjibu,eti wewe jina lako ni njaa,pole sana kwa msukosuko huo.ulisema kweli sana.
  6. J

    JamiiForums Tanzania Magazeti yote yaliyoandika uchambuzi wa Zitto Kuhusu ripoti ya CAG yaanza kushughulikiwa

    Siku hizi hamna uhuru wa kutoa maoni? Sent using Jamii Forums mobile app
  7. J

    JamiiForums Tanzania Magazeti yote yaliyoandika uchambuzi wa Zitto Kuhusu ripoti ya CAG yaanza kushughulikiwa

    Hayo ni maoni kuhusu walichokiona ndugu zito na pia mtazamo wao.wanajua wameshaelea kuhusu report hiyo . Sent using Jamii Forums mobile app
  8. J

    JamiiForums Tanzania TCRA Chukueni hatua kwa watu wafuatao

    Hata mimi nimeshapata sms mara nyingi sana wamezidi . Sent using Jamii Forums mobile app
  9. J

    JamiiForums Tanzania TCRA Chukueni hatua kwa watu wafuatao

    Hawa jamaa wamekuwa wengi sana. Sent using Jamii Forums mobile app
  10. J

    JamiiForums Tanzania Uchambuzi: Naamini Tundu Lissu si Mwafaka Kugombea Urais 2020 (2)

    Lisu anafaa sana ili aje abadili katiba yetu yenye viraka kibao. Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom