Pascal Mayalla
Platinum Member
- Sep 22, 2008
- 50,442
- 113,452
- Thread starter
- #141
Huwezi amini leo ndio nasoma comment hii.Mkuu Mayala!
Nakutakia Heri ya Mwaka Mpya!
Umeandika insha ndefu mno na yenye subjects nyingi tofauti: Physics, politics, philosophy, religion, hypnotism, divine creation, Darwinism, cosmology, logic, mathematics nk.!!! Matokeo yake, binafsi umenichanganya! Nabaki najiuliza fundisho au lengo la insha yako lilikuwa nini? (samahani kutumia maneno ya English hapa kwa wale wasiopenda lugha za kigeni).
Kitendo cha kusoma na kujiuliza fundisho ni dalili ya kutoelewa soma, soma tena na tena, usipoelewa, njoo.
Merry Christmas
P