Recent content by japhetmaginga

  1. japhetmaginga

    Kama unahitaji kiwanja

    Daaaah sema nipo mbali xaaaana ngonyani nipo sumbawanga by nou nataka kiwanja kibaha mjini hapo
  2. japhetmaginga

    Hongera serikali kwa makato mishahara ya waalimu

    Harafu kitu kingine ni irani gani ya chama rais anaitumia kutekeleza ujenzi wa maabara hizo za xhule za kata? Na ni irani ya mwaka gani mbona anatumix
  3. japhetmaginga

    Hongera serikali kwa makato mishahara ya waalimu

    Nanukuuu kauli ya baba wa taifa muasisi mkuu ““ huu ni mfumo gani huu kunyang‘anya mali kutoka kwa masikini na kupeleka kwa matajiri ni mfumo gani huu huuu ni mfumo wa kishetani huu““ mwisho wa kunukuuu utakubaliana na mimi kua moja ya idara zinazo dharaurika nchini ni waalimu tunaongoza xio tu...
  4. japhetmaginga

    Niulize chochote kuhusu Michael Jackson

    Ni kweli jackson watt wake waote ni wakwenye chupa
  5. japhetmaginga

    Mbowe: Tutapinga kufanyika kwa kura ya maoni kama daftari la mpiga kura halitaboreshwa

    Xtill mbowe atabaki kamanda kwa nyie mlio zoea kuwapa mama zenu; wakezenu;na magirlfriend wenu na bibi na babu xenu kanga na tixheti na kofia zilizoprentiwa picha za mwanaume mwenzenu huwezi kujua coz uwezo wenu wa kung‘amua mambo na kujiongeza still ni mdogo kama maisha ya funza samahani kama...
Back
Top Bottom