Recent content by Japhet zani

  1. J

    Nimeliwa baada ya kutrade forex hela ya matumizi ya nyumba na nauli ya mdogo wangu kwenda shule.

    Wewe ulitegemea nini kuingia kwenye hiyo biashara. Kinacho zaa kinakufa, hiyo ndiyo nitolee wajanja wameshachukua chao. Jua hii mifumo imewekwa na watu wenye akili sana. Wewe mbugilambugila mwenzangu na mie unaingia kichwa kichwa unanyilewa bila kutiwa maji.
  2. J

    Naomba mawazo ya biashara ya viazi

    Biashara ya viazi ni ngumu sana kwasababu kwanza inategemea na soko la siku hiyo pili usharp wa dalali wako na tatu ubora wa mzigo wako. Kitu cha kwanza unachotakiwa kufanya ni kwenda sokoni na kumpata dalali mwaminifu kitu cha pili nihuyo dalali kukupatia contact za wahusika kule viazi...
  3. J

    Angalau Halima Mdee amemfunga paka kengele

    Kutokana na hukumu ya Jaji mimi nilivyo muelewa wakina halima si wanachama wa Chadema na kamati kuu haikukosea na hata mkutano mkuu haukhaukukosea ila busara ndizo zilizo Muongoza Jaji kwa hiyo hilo ni swala la mda tu sababu CDM hawana tatizo na ubunge wa hakina Halima Mdee wao wanatatizo na...
  4. J

    Aliyeona CHADEMA wakitoa misaada kwa wananchi wa Hanang kama walivyofanya CCM naomba aniwekee hapa picha au video yake

    Kwani CDM wao ni nanani Mpaka uwaandame, mbona ujasema ACT, au CUF? I Kazi ya Chama siyo kutoa misaada kipindi cha Maafa, Chama cha siasa kazi yake nikupambana kushika Dola ilikuwaletea wananchi maisha Bora, Maafa yanatokea ulimwengu mzima umeshawahi kusikia Chama cha siasa kinalaumiwa kwa...
  5. J

    Lissu: Huko mbele ni kugumu, lakini ni lazima twende

    Nimeona sehemu nyingi bendera mpya za CCM kwenye nyumba za mabalozi wa nyumba kumi kumi ndiyo kusema CCM inafufuka.
  6. J

    Mbowe akili kubwa jana angetimba Ibadani Moshi ingekuwa kwisha habari yake!

    Unadhani hao wote ambao ni wagunduzi wa vitu mbalimbali duniani walifanya vizuri darasani tena wengine walikimbia shule kabisa kupata Ziro kwenye mtihani siyo kuwa mtu hana Akili inategemea amebase upande gani nayeye kaenda upande gani ,kunawatu wamefeli science wakaenda biashara wakafanya...
  7. J

    Damas Ndumbaro: Mahakama ya Tanzania ndio bora Barani Afrika

    Mahakama inayoweza kumuweka mtu mahabusu miaka kumi bila dhamana kisha inakwambia mtu hana hatia.. Kweli ni kichekesho.
  8. J

    Shambulizi la Lissu: Wanaomdhania dereva anahusika sio wajinga, Wana hoja za msingi. Je, anahusika?

    Katika majeshi bora ya POLISI duniani jeshi letu linashika namba tano kwa uwezo wa hali ya juu wakuchunguza na kuwabaini wahalifu.Itoshe tu kusema yote kwa yote kuna mambo mengine si yakumlaumu mtu ila ni yakukaa kimya tu.
  9. J

    Shambulizi la Lissu: Wanaomdhania dereva anahusika sio wajinga, Wana hoja za msingi. Je, anahusika?

    Watu wengi mpaka leo hawajawahi kumuelewa Yuda, kwanini alimuua Yesu. Watu wanadhani Yuda alikuwa na shida ya vipande 30 vya fedha,La hasha hasha Yuda hakua na njaa hiyo hata kidogo. Yuda alikuwa na mipango mingine kabisa zaidi ya vipande Thelathini vya fedha.
  10. J

    Shambulizi la Lissu: Wanaomdhania dereva anahusika sio wajinga, Wana hoja za msingi. Je, anahusika?

    Lisu alianza kufuatwa na hawa watu tangu DSM na aliwai kuwashout kwa kumfuata fuata ,pia Tundu Lisu alifahamishwa mapema na Gwajima kuwa usiende Dodoma kama nilivyomnukuu Lema ,kwa hiyo swala la kufuatwa fuatwa nyuma halikuwa jambo geni kwake na vyombo vyote vya ulinzi na usalama vilikuwa...
  11. J

    Kwanini vyombo vya habari bado vinaripoti kwa 'machale' taarifa za vyama vya siasa vya upinzani?

    Maneno aliyo wahi kuyasoma Bashiru hayapaswi kupuuzwa kuwa Chama kilichopo madarakani kisipotumia vizuri dola kubaki madarakani likitoka hakirudi tena kwa hiyo vyombo vya habari vyetu bado vinauo uoga bado.
  12. J

    Siku Dkt. Bashiru, Prof. Kabudi au Balozi Polepole wakisimama dhidi ya CCM nitaogopa sana lakini Lissu, Lema na Mbowe hawana maajabu

    Hawana chochote hao kazi yao kubwa ilikuwa kununua wapinzani na kuharibu demokrasia na chaguzi.hao wanawekwa kundi moja na wafuasi wa NAZI ambao bado wanaishi wanaweza wakasema nao walikuwa wanashinikizwa ila hawajawahi kuonyesha thamani ya uongozi wao hata kidogo.MAMBO YOTE YA HOVYO YALIYO...
  13. J

    Mrisho Gambo amvaa Lema, amtaka alipe madeni yake kwanza

    Hayo Ndiyo maneno siasa ni majigambo nakupigana vijembe hakuna ustaarabu kwenye siasa kama umeamua kuingia kwenye sasa unapaswa uwe mvumilivu na mwenye ngozi ngumu kwa hiyo isitegemee kwenye siasa mpinzani wako atakusaidia hata siku moja.Siasa ni Propaganda ,uongo ongeza na chumvi ukweli huwa ni...
Back
Top Bottom