Recent content by japhet kibiligi

  1. japhet kibiligi

    JamiiForums Tanzania Makachero wa Kagame mbaroni Dodoma

    kaka we ni noma na umetia fola unadanganya mpaka nchi inatikisika du umetumia vizuri siku yawajinga hongela sanaa!
  2. japhet kibiligi

    JamiiForums Tanzania Raisi Wa Jamhuri Ya Muungano Wa Tanzania Awamu Tano 2015-2020 atakuwa nani?

    mimi najua slaa pekee sawa
  3. japhet kibiligi

    JamiiForums Tanzania Tanganyika imerudi

    tanganyika huru irudiiiii!
  4. japhet kibiligi

    JamiiForums Tanzania Hii Nchi ya amani Ipo siku mtaisikitikia

    tanzania inamajeshu sasa tutatawaliwa tutake tusitake hata wakitugawa kwaudini hawana shida watapeta tu!
  5. japhet kibiligi

    JamiiForums Tanzania Tafakuri yakinifu yenye swali la,kwanini CHADEMA imeporomoka hivi baada ya kumfukuza Zitto

    KAKA INAONEKANA KWA UDINI UKO VIZURI waisilam wamepatikana wap tena kwenye siasa!
  6. japhet kibiligi

    JamiiForums Tanzania Ondoka Kikwete, Ondoka Kikwete tupumue!

    angalia utapigwa kitu chenye incha kali.kikwete hafai natamani aondoke hata leo!
  7. japhet kibiligi

    JamiiForums Tanzania Muungano wa Tanganyika na Zanzibar: Una faida gani na kwa manufaa ya nani?

    kwanini tuwe na muungano wenye utata wakati tanganyika ndoo supa pawa africa mashaliki.
  8. japhet kibiligi

    JamiiForums Tanzania Muungano wa Tanganyika na Zanzibar: Una faida gani na kwa manufaa ya nani?

    hauna faida yoyote zaidi ya usumbufu hata ukivunjwa hakuna hasala!
  9. japhet kibiligi

    JamiiForums Tanzania Kuhusu Libya: Hivi msimamo wa Tanzania bado ni ule ule?

    TANZANIA hatuna maamuzi makini nivigeugeu!
  10. japhet kibiligi

    JamiiForums Tanzania Kiongozi wa ACT matatani kwa kushusha bendera ya CHADEMA mkoani Kigoma

    chama kichanga nacho kinaibuka na vulugu zitto aachane na siasa!
  11. japhet kibiligi

    JamiiForums Tanzania Masalia mtahamia ACT au mtabaki CCM?

    chama cha ACT boss wao ni zitto na washilika wake
  12. japhet kibiligi

    JamiiForums Tanzania Posho ya 300,000/- kwa siku kwa kila Mjumbe wa Bunge la Katiba ni kubwa!

    nasari uko sawa
  13. japhet kibiligi

    JamiiForums Tanzania Viongozi CHADEMA: Mshitakini Rais Jakaya Kikwete.Muda ndio Huu sasa!

    kesi ya nyani huwezi kuipeleka kwa tumbili ukapata haki:
  14. japhet kibiligi

    JamiiForums Tanzania Membe: Jeshi letu linaongoza barani Afrika kwa Uimara!

    asimutishe kagame yuko vizuli!
Back
Top Bottom