Recent content by japhet alfayo

  1. J

    Apson Mwang'onda aendelea kumtapeli Lowassa. Amhakikishia kuwa ameshinda Uchaguzi na Ikulu ni yake

    Acheni uongo jamani kila kona katoa pesa ukigeuka pesa hizo pesa anakiasi gani?? Na mbona hamsemi ccm ilivyo tandaza mabango nchi nzima?? Ikiwa bango moja kubwa ni zaidi ya 30 million kwa mwez!!! Hayo hamyaoni ila mnaona ya lowassa tu.... acheni kupotosha umma
  2. J

    Mwenyekiti wa CUF Taifa, Prof. Lipumba akamatwa na wafuasi wake, kisha waachiwa kwa dhamana!

    Hii ndio Tanzania bwana mwizi analindwa anaenda kufanya mkutano anapigwa tena kwa kwa nguvu zote.
  3. J

    Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Frederick Werema ajiuzulu

    Shida ya watawla wetu wameifanya Tanzania kuwa ni mali yao pasipo kujuwa kuwa wao wamepewa thamana tu Tanzania ni ya watanzania wote.
  4. J

    Wataalam wa Alibaba: Jinsi ya kuuza bidhaa, Hapa siibiwi kweli?

    Nakushauli mwambie akupe documents za company yake na ukitaka uwe safe tumia ile njia ya L/c
  5. J

    Mke wa mtu

    Haaaaahaaaa
Back
Top Bottom