Recent content by Jao

  1. J

    Mbunge Kigwangalla apata ajali mbaya (2012)

    pole sn mh kigwangala, tunakuombea upone haraka ili ukaendelee kushirikiana vizur na magamba wenzako.
  2. J

    Kifo cha RPC Mwanza: Maswali ya Bei Mbaya...

    maswali mazuri sn ktk muongozo wa kesi. huyo anayesemekana kuwa ni dada mtu kama siyo daaaada mtu ndiye suspect no 1 kwenye haya mauaji, hope by now atakuwa underrested.
  3. J

    RPC wa Mwanza ACP Liberatus Barlow auawa na wanaodaiwa ni majambazi!

    hakika kila nafsi itaonja mauti lakini kwa kifo cha kamanda barlo inaonesha Mwenyezi Mungu alivyokuwa na hasira na hawa wanaoitwa mapolisi kwa jinsi wanavyotoa roho za watu bila hatia. Malipo ni hapahapa dunia tunazidi kukomba ee Mwenyezi Mungu uzidi kutufunulia uwezo wako hata kwa watu...
  4. J

    CHADEMA na tishio la Tendwa kukifuta Chama kisa Maandamano/M4C

    hicho kijamaa kimelewa madaraka ndo maana kinaongea mambo yanayolingana na ufupi wake, ngoja nianze kukigonga makwenzi ili kizidi kudidimia. keep on chadema, keep on m4c!!
  5. J

    PICHA: Dr. Slaa atoa pole kwa familia ya marehemu Mwangosi

    Pumzika kwa amani kaka na ndugu yetu Daud Mwangosi. Mungu atatenda lililo jema kwa familia yako ulioiacha hapa duniani. Hakika ni simanzi isiyokuwa na mwisho.
  6. J

    Ufisadi wa Blandina Nyoni huu hapa!

    kwakweli sikujua kama huyu mama ni shetani wa miguu mitatu, jinsi alivyo na dhambi aliyoitenda hakika Mungu Baba hatamuacha hivihivi.
  7. J

    Kamanda Freeman Mbowe kusimamia changisho la M4C leo serena hotel...

    M4C forever... leo nyumbani mapemaaa. Tukianza na Mungu hakika hizo 5b si kitu kwake, tutazipata tu.
  8. J

    Dr. Slaa, Mbowe waweka historia Kilombero!

    kanyaga twende, Operesheni Sangara ndo mwanzo wa Ukombozi.
  9. J

    Karibu tena Prof. Mark Mwandosya...!

    nmeipenda sana speech ya Mh. Mark atleast imeonyesha picha kuwa kumbe ndani ya magamba kuna magwanda big up Mh.
  10. J

    CCM yaishukia CHADEMA suala la TUHUMA za Rushwa kwa wabunge

    huyo mropokaji wa serikali dhaifu hana sera ndo maana ameshindwa kuwataja wanaM4C waliopokea rushwa. alivyokuwa na kiherehere angekuwa tayari kasharopoka ila amepigwa buti la uso haoni kitu.
  11. J

    MKOBA azushiwa kusaini kitabu cha mahudhurio

    solidarity forever!! walimu kaza buti mpaka kielewe, serikali-dhaifu imezidi dharau.
  12. J

    Dadake mbunge Munde Tambwe (CCM) akamatwa na dawa za kulevya!

    dada madawa ya kulevya:shetani: kaka mlungula; what a shame!!!
  13. J

    Waziri Kawambwa ashindwa kujieleza juu ya Mgomo wa Walimu

    huyo jamaa ni kilaza mbayaaa.. hana upeo hata uwezo kiutendaji hana, nashangaa alikubalije kuingia studio na kuwa live on air wakati anajijua kuwa yeye ni kilaza tu. tabia hii ya waswahili kubebana ndiyo inayotuathiri ukizingatia unambeba mtu asiyebebeka.
  14. J

    Gazeti la MwanaHalisi lafungiwa kwa muda usiojulikana!

    watabana wee mwishowe wataachia.... walishalifungia sasa wamenogewa na wamefanya tabia kulifungia tena. OMBI kwa Mh. Kubenea: tunaomba uwe unapost jamvini kwetu zile habari motomoto nasi tutazichambua kwa kina halafu tutawahabarisha wananchi wengine ambao si wana jamvi, katika kipindi hiki...
  15. J

    Baba wa Mhe. Joseph Selasini Afariki

    tumshukuru Mungu kwa kila jambo maana yeye ndiye muweza yote. pole nyingi kwa familia ya Mh. Kiongozi wetu Joseph Selasini. R I P Baba yetu, mzee wetu Roman Selasini.
Back
Top Bottom