Recent content by Jannat

  1. Jannat

    JamiiForums Tanzania kwa nini wanawake hupendelea kuvaa bikini zaidi

    inakufanya ujihisi free, haionyeshi panty line, na pia inakufanya ujihisi 'sexy'...
  2. Jannat

    JamiiForums Tanzania Tangazo la Kazi wizara ya fedha

    Thanx...
  3. Jannat

    JamiiForums Tanzania Mambo vp?

    Haupo peke yako. Naona kukaa nje sana inaleta tatizo kwenye lugha, kiac kwamba mtu unajikuta huwezi kuongea sentensi moja bila kuchanganya na kiingereza. Ila tip niliyojifunza ni hivi, kabla hujaenda bongo, atleast kama mwezi hivi, jaribu kuongea kiswahili ili ukienda bongo ucje ukaaibika.
  4. Jannat

    JamiiForums Tanzania Tusaidiane kwenye CV na barua za kuomba kazi

    Habari zenu, Nadhani ikija kwenye employment, kitu cha kwanza mtu anabidi ajiulize ni, ni kazi gani anataka. Watu wengi, wakiona tangazo la kazi, huishia kuapply just because wanaqualify, lakini wanaishia kuaibika kwenye interviews since wanakuwa hawajui contents za hiyo kazi wala kampuni...
Back
Top Bottom