Jannat
New Member
- Jul 16, 2009
- 4
- 0
Habari zenu,
Nadhani ikija kwenye employment, kitu cha kwanza mtu anabidi ajiulize ni, ni kazi gani anataka. Watu wengi, wakiona tangazo la kazi, huishia kuapply just because wanaqualify, lakini wanaishia kuaibika kwenye interviews since wanakuwa hawajui contents za hiyo kazi wala kampuni husika.
Kwahiyo ndugu zanguni, inabidi tujue ni nini tunataka, au ni nini tunatafuta...