Utumishi hawana venue binafsi kwa ajili ya kufanyisha watu interview hasa watu wanapokua wengi ndo maana siku za weekend zinatumika maana wanaomba madarasa kutoka sehemu mbalimbali hasa vyuoni ambapo madarasa hutumiwa na wanafunzi Siku za kazi
Kuna interest na kuna kubweteka ,Walio na interest ya kuwa JKT sio wote kuna walioenda kukwepa changamoto za mtaani na wapo walioenda kwa interest fulani*2
Mengi Inasemekana Alifanya Vile Akiwa karubuniwa sio kwa akili yake ndo maana uliona kesi , Ila kwa Huyu mwamba Mzee wake anaonekana kuwa na akili timamu na ameshaona Jamaa amebweteka anasubili URITHI ,huo ni upuuzi kwanza Kumnyima URITHI Huyu ni sahihi kabisa mi pia ningekua Baba ake asingepata...
🧠 KUANZA KUPAMBANA KUSUDI UWE SEHEMU YA URITHI TAYALI HILO NI TATIZO KWAKO HUTAKIWI KUWAZA HATA KIDOGO KUHUSU KUPEWA SEHEMU YA MALI YA BABA YAKO NI SAWA NA KUSEMA UNAMUOMBEA KIFO MZEE .
🧠 WE NI MTU MZIMA MPAKA UNAFIKA MIAKA 38 ULIKUA UNASUBILI MZEE AFE UPATE URITHI , PUNGUZA B.NG.
🧠 UNAWEZA ONA...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.