By: Khamis Saleh
•Staffs are the first Customers and our brand ambassadors
•Stand front to remind people about the vision
•Let them feel are comprised in that vision
•Get time to Know your people, they can cause failure or success
•We may have these kind of people, to know them will increase...
kwa kweli ndugu yangu sidhani wala sitaki kuamini kama kweli hii hali ndio inafanya dunia iwe nzuri na sitaki kuamini hilo kwakua bado sijauona huo upande mwengine wala kuuishi,hivyo kama hatujajua utamu wake basi hatuwezi sema kuwa tulionao ndio utamu kweli.
Na nitaweza sema sio mzuri kama...
Je, umewahi kufikiria kuwa Mama ndie kiumbe anaepitia upweke kwa kiasi kikubwa zaidi katika maisha zaidi ya Baba?
Ni ukweli usiopingika kuwa mama ndie namba mbili baada ya Mungu muumba wetu alieumba ulimwengu, kwani mama ndie binaadamu anaechukua nafasi kubwa zaidi katika kuja kwetu duniani...
Ameen!
Endelea kumueka pembeni yako,jua zaidi furaha zake,jua simanzi zake,jua ndoto na matarajio yake,kwa hakika she hold the much and amizing bless for us...Thank you 👊
Je, umewahi kufikiria kuwa Mama ndie kiumbe anaepitia upweke kwa kiasi kikubwa zaidi katika maisha zaidi ya Baba?
Ni ukweli usiopingika kuwa mama ndie namba mbili baada ya Mungu muumba wetu alieumba ulimwengu, kwani mama ndie binaadamu anaechukua nafasi kubwa zaidi katika kuja kwetu duniani...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.