Recent content by Janerose

  1. J

    JamiiForums Tanzania Kwanini simpati mwanaume wa maisha yangu!

    Kaka kukataliwa kwako hakuhusiani kabisa na hisia za wanawake wengine, mie sina tabia za hao madem wako!
  2. J

    JamiiForums Tanzania Kwanini simpati mwanaume wa maisha yangu!

    Niko serious na namwomba Mungu anisaidie, nashukuru pia
  3. J

    JamiiForums Tanzania Kwanini simpati mwanaume wa maisha yangu!

    Sikupata mume ndo maana nikaomba ushauli kuwa kwanini mimi sipati mume wa maisha yangu, jaribu kuwa mwelewa ndugu usikurupuke nataka ushauri sio mume
  4. J

    JamiiForums Tanzania Kwanini simpati mwanaume wa maisha yangu!

    Aaah ninawivu na sitaki uwezo wako
  5. J

    JamiiForums Tanzania Kwanini simpati mwanaume wa maisha yangu!

    Woow i like this
  6. J

    JamiiForums Tanzania Kwanini simpati mwanaume wa maisha yangu!

    ok ila sijajiweka tofauti kwakuwa sipendi kumfanyia mtu kitu nisichopenda kufanyiwa
  7. J

    JamiiForums Tanzania Kwanini simpati mwanaume wa maisha yangu!

    Ooops! umekosea kabisa sina yote hayo, ila nadhani wanahisi nataka kutumia ujana wakati mie niko serious!
  8. J

    JamiiForums Tanzania Kwanini simpati mwanaume wa maisha yangu!

    Jamani serious!
  9. J

    JamiiForums Tanzania Kwanini simpati mwanaume wa maisha yangu!

    Asante ila sitaki mwanaume atakae nitaman kwa mwonekano nataka upendo wa dhati usioangalia chochote, asante kwa wishies naendelea kusubiri
  10. J

    JamiiForums Tanzania Kwanini simpati mwanaume wa maisha yangu!

    Oooh nashukuru ila kwa wewe jaribu kutulia na mkeo! vipi mambo mengine?
  11. J

    JamiiForums Tanzania Kwanini simpati mwanaume wa maisha yangu!

    Unahitaji msaada wa maombezi na watoa matangazo ya waganga wenzio
  12. J

    JamiiForums Tanzania Kwanini simpati mwanaume wa maisha yangu!

    Nashukuru umenisaidia kumwelimisha huyu alieko gizani
  13. J

    JamiiForums Tanzania Kwanini simpati mwanaume wa maisha yangu!

    Nahofia kukupa pic yangu wala history family yangu unaweza kuningangania bure maana sio wewe utoto unakusumbua ukikua utaacha!
  14. J

    JamiiForums Tanzania Kwanini simpati mwanaume wa maisha yangu!

    Waliokukataa enzi za ujana wako wakakutaka kwasasa sio kama mimi ndo maana ujana wangu nautumia kumsaka mume wa maisha yangu, oopss!
  15. J

    JamiiForums Tanzania Kwanini simpati mwanaume wa maisha yangu!

    Umeniweza inawezekana ila hujajua chanzo cha mimi kusema hivyo!
Back
Top Bottom