Recent content by Janemo

  1. J

    Unmarried and over 30 looking for "mr right"

    Ivi unaweza kuomba mume mwema, ukapata mume wa mtu???? Au litakua jaribu?? Au ndo kupokea tulichoomba???
  2. J

    Upinzani mnapoambiwa mwakani hakuna mbunge wa upinzani atakayerudi muwe mnaelewa

    Mtaa wa apo chato labda Acha kusemea watu
  3. J

    Nafasi ya kujitolea (Environmental officer/health and safety officer)

    Now sitafuti kujitolea, natafuta kazi Nina experience ya mwaka mmoja katika safety works Pia kuandaa report mbalimbali za safety at site. .
  4. J

    Health and safety night shift vacancy

    Hello, natafuta nafasi ya safety katika viwanda ambavyo vinafanya kaz mchana na usiku Nafas nayotafuta ni ya kuingia night Nina bachelor ya Environmental science Nina uzoefu katika kazi hizo Napatikana Dar es salaam Kwa kampuni yenye uhitaji ,tusisite kuwasiliana 0718433128 Asanteni Sent...
  5. J

    Nunua sabuni nzuri ya maji kwa bei punguzo

    Ooh, karibu nikuuzie sabuni yeny manukato mazur
  6. J

    Nunua sabuni nzuri ya maji kwa bei punguzo

    Weka oda upate sabun yako
  7. J

    Nunua sabuni nzuri ya maji kwa bei punguzo

    Haina shida utaipata
  8. J

    Nunua sabuni nzuri ya maji kwa bei punguzo

    Ujazo lita tano sh 7000 pia ukihitaji kwa lita mojamoja unapata sh 2000
  9. J

    Nunua sabuni nzuri ya maji kwa bei punguzo

    Yes kama upo mkoan unatumiwa karibu
  10. J

    Nunua sabuni nzuri ya maji kwa bei punguzo

    Habari, sabuni za maji zinapatikana kwa bei poa ya sh.7000 tu Ni nzito sana, nzur kwa matumizi ya usafi kwa ujumla Kufua nguo Kuosha magari Haichubui mikono Weka oda yako uletewe mpka nyumbani karibuni sana #loppysoaps Instagram loppy_products +255754939399 whatsaap/call/sms Napatikana kigamboni
  11. J

    Natafuta kazi ya usafi

    Kwa hyo wale wasiokua na vyeti vya kutafuta kazi kama yako, wanatakiwa kuandika wap ??? Aseee ur very stupid
  12. J

    Natafuta kazi ya usafi

    Hili jibu lako linaumiza sana, mwombe Mungu akupe maarifa na busara zaid sana tubu kwa hili What goes around comes around Time will tell
Back
Top Bottom