Nunua sabuni nzuri ya maji kwa bei punguzo

Nunua sabuni nzuri ya maji kwa bei punguzo

Janemo

Senior Member
Joined
Aug 17, 2016
Posts
106
Reaction score
38
Habari, sabuni za maji zinapatikana kwa bei poa ya sh.7000 tu
Ni nzito sana, nzur kwa matumizi ya usafi kwa ujumla
Kufua nguo
Kuosha magari
Haichubui mikono
Weka oda yako uletewe mpka nyumbani karibuni sana
#loppysoaps
Instagram loppy_products
+255754939399 whatsaap/call/sms
Napatikana kigamboni
 
Hata mie wa Kantalamba utaniletea mpaka Nyumbani?
 
Ntakutafuta Mkuu ili unletee Bunju na naamini hautodai nauli mana wengine wakileta uwa wanakukodolea macho ya huruma
 
Kuna mmoja yeye anauza 5000 kwa lita 5 lkn hiyo sabuni ukitumia chooni utatamani arufu iliyokuwepo mwanzoni kabla ya usafi iendelee kuwepo.
 
Kuna mmoja yeye anauza 5000 kwa lita 5 lkn hiyo sabuni ukitumia chooni utatamani arufu iliyokuwepo mwanzoni kabla ya usafi iendelee kuwepo.
Ooh, karibu nikuuzie sabuni yeny manukato mazur
 
Back
Top Bottom