Recent content by janeil

  1. J

    JamiiForums Tanzania Anayeijua shule ya sekondari Bwiru iliyoko jijini Mwanza

    Duuuh kumbe kitangiri sec ni......... [emoji43][emoji43][emoji43][emoji16][emoji16]
  2. J

    JamiiForums Tanzania Anayeijua shule ya sekondari Bwiru iliyoko jijini Mwanza

    Hahaaaaaaaa... Unanikumbusha mbali sana aisee
  3. J

    JamiiForums Tanzania Sitasahau siku niliposhuhudia rafiki yangu akimezwa na chatu

    Aya bhana yashatokea ,,,,,pole sana ila inabidi tujifunze kuwa wajasir japo kdg
  4. J

    JamiiForums Tanzania Kwako Mh. Ndalichako, Joyce.

    Pole ndugu,,, Mungu akufungulie njia
  5. J

    JamiiForums Tanzania Nimepata mkopo usiku huu kutoka HESLB

    Sor nina swali wadau.... Kuna mtu kapata mkopo ambao ni ada pamoja na mengineyo yote ila majina yalipotoka kwa ajili ya kusain jina lake halikuwepo ila ya wenzake wote kwenye BED yake majina yao yametoka alipoenda ulizia akaambiwa majina yote yametoka wakamwangalizia tena wakakuta mkopo anao...
  6. J

    JamiiForums Tanzania St John Pharmacy, 90 kati ya 130 hatuna mkopo

    Subir tu yatakuja
  7. J

    JamiiForums Tanzania Usajili UDOM 1st year ni kero kubwa

    Vumilia tu na uwe makini mbona wengine tulisajiliwa siku ileile ya kwanza na mambo ya maform unayosema yalikuwa ivoivo kwanzia siku ya kwanza,,,, jitahidi utafanikisha tu
  8. J

    JamiiForums Tanzania Chungulia account yako labda utakutana na mkopo

    Na wameshasitisha tena,,,, kwahiyo zoezi linaanza upya
  9. J

    JamiiForums Tanzania Chungulia account yako labda utakutana na mkopo

    [emoji15] ,,,,[emoji30] [emoji24] [emoji24] ,,,,[emoji122] [emoji122] [emoji122]
  10. J

    JamiiForums Tanzania Chungulia account yako labda utakutana na mkopo

    S0503.0059.2013
  11. J

    JamiiForums Tanzania Mada maalum: Karibu tujadili masuala yote kuhusu Mikopo ya Elimu ya Juu

    Roho mbaya hiyo bhana et kwasababu wewe umepata changamoto ndio unataka na mwenzako aipitie badala utaman ipate ufumbuzu,,, sasahata wasipopata huo mkopo hadi 12 na wewe ukaendelea kukosa ina faida gan au ndio kifo cha wengi hakiumii ,,,,, hebu mjibu huyo mtoto sio kumvunja moyo kihivo
  12. J

    JamiiForums Tanzania Mada maalum: Karibu tujadili masuala yote kuhusu Mikopo ya Elimu ya Juu

    Mi nimeandkiwa kama wewe tu best,, mpaka nkazan udom bado
  13. J

    JamiiForums Tanzania Nimechaguliwa MD Hubert Kairuki lakini nimekosa ada naombeni msaada

    Pole ndugu yangu.... Hebu tafuta hata kwenye makanisa na taass binafs mana maswala ya mkp giza tuu
  14. J

    JamiiForums Tanzania Waliochaguliwa UDOM waje niwape fununu za chuo chetu

    Mmmmh iv kuna barch nyngn tena mana nimesikia wamesema wamemaliza,,,,, then majina yaliotoka frst batch yalikuwa ya vyuo vyote au baadhi,,,,,
  15. J

    JamiiForums Tanzania Waliochaguliwa UDOM waje niwape fununu za chuo chetu

    Mkuu nimechguliwa udom lakin cjajua kama nimepta mkopo,,, nsaidie kuchek,,,, S0503.0059.2013
Back
Top Bottom