Recent content by jane_K

  1. jane_K

    JamiiForums Tanzania Changamoto ya kupata mke

    Kabla hujasema unapata shida kupata mke mwema je wewe ni mume mwema? Haiwezekani use mlevi labda au mzinifu.unashinda mabaa kila siku kutegemea kupata mwanamke wa standard tofauti na maeneo unayoshinda. Utamuonaje kwanza.
  2. jane_K

    JamiiForums Tanzania Kwanini tutarudi kwenye uchaguzi kabla ya miaka 5 kuisha?

    Mungu ni mwema
  3. jane_K

    JamiiForums Tanzania Polisi waongezewa mshahara nyongeza ya laki tatu

    😂😂😂😂😂😂😂😂 hasira Kali
  4. jane_K

    JamiiForums Tanzania Huyu binti vipi? Ananizidi mshahara na cheo lakini bado ananipiga mizinga, inakuaje?

    Pamoja na make na familia.ukanogewa na penzi la.boss wako..sasa basi endelea kuleta lunch.na kutoa pesa.kwa maana pamoja na kuzidiwa cheo na mshahara na akili umezidiwa.
  5. jane_K

    JamiiForums Tanzania Hivi Kinana ni lini alikana uraia wa Somalia?

    Acha uchochezi..ukimtambulisha kawaida unapungua kilo!?
  6. jane_K

    JamiiForums Tanzania Hotuba ya Dr. Slaa kwa Watanzania toka Hoteli ya Serena - Tarehe 1 Septemba, 2015

    Mungu atusimamie 25th October tukafanye maamuzi sahihi.we seriously need God..japo sasa tunajua mbivu na mbichi..
  7. jane_K

    JamiiForums Tanzania Mwanaume anapenda nini kwa mwanamke?

    Personality..humor..usafi..upendo wa dhati..
  8. jane_K

    JamiiForums Tanzania Mwanaume anapenda nini kwa mwanamke?

    Exactly...😍😍😍 bubbles in the air..jua kuunganisha hisia na sio vikojoleo..
  9. jane_K

    JamiiForums Tanzania Kila ninayempenda sana amenizidi umri

    Hahahahaa
  10. jane_K

    JamiiForums Tanzania Aliekuwa Mwanachama wa CCM asema kinachofanya WanaCCM kujiuzulu kila kukicha

    Utatu Mtakatifu ni Mungu baba,mwana na roho mtakatifu.basi na si zaidi.wala haifanani na kitu kingine.
Back
Top Bottom