Kila ninayempenda sana amenizidi umri

Kila ninayempenda sana amenizidi umri

Hao ndo wa zuri, wanajua maisha ila wasizidi miaka 5 . Na mimi natafuta kama hao! cjui ntapata!!!!?
 
Ukiwaona ni wadogo kimaumbo na huwez kujua kama wamenizid umri,nikiwa nay watu lazma wajue mm ni mkubwa na ki2 kingne unakuta wamenizid mwaka 1 au miwili na tunakuwa tupo kweny mapenz takriban mwez ndo 2naulizana na kujua kumbe wamenizid na wenyew hawana shida kabsa japo wanajua mm ni mdogo kwao na mapenz yanaendelea na niliye nae sasa amenzd miaka 2 na tunapendana sana japo anajua

Kwani haiingii jamani, unaempenda si ndio mzuri, umri is just a number, umri wenyewe wa kuzidiana mwaka mmoja au miwili tu?
Uliza wakwambie wenzako wanzidiana maiaka mingapi na maisha yanaendelea
 
timiza wajibu wako tu mkuu umri waachie wengine wanaojifanya wanachagua au umri kwao ni kikwazo
 
halafu wenye umri mkubwa ni "watamu", kuliko virikuuu....

Mkuu unafaidi sana...... yaani wavyozeeka, ndio mambo yanazidi kunoga....why! Miss Chagga, help me on that secret of becoming elder for woman! why are they so sweetie........
Hata wanavyopumua vizuri kwenye mambo, unapata hamasa, walaaaini..kama sufi, daah jamaa komaa nahao waliokuzidi umri.....

Sasa kutana na virukuu, full kuhangaika, na sauti za ajabu ajab, ambazo hazina mpangilio....maraa oooh, oooh..ngroooo..ngroooo..hiii hiii iii,,uwiiiii, uwiiiii,,....nn sasa! wengine, utasiki, wewe kaka unanifanya vizuri...ntakuipigia kelele..mara anaanza kulia mpaka majirani wanasikia.....

Ila hawa wa umri mkubwa, mpaka raha...
 
hii imekaa kuwa we unapenda kulelewa na unapeda kuongozwa na si kuongoza.... sasa hizo ni tabia za kike mkuu samahani neno kali lakini ukweli,.,..... kwa hyo sasa anza kutongoza waodogo kwako

Inaonesha wewe uliyemshauri hivi unapenda uwe juu ya mkeo kwa kila kitu ili uweze kumtawala vizuri. Ushauri wangu kwa anayependa wanawake wanayemzidi umri ni kuwa miaka sio kitu, ni namba tu. Kama unataka kuoa wewe oa tu mradi umempenda, kwanza hii inadhihirisha ni jinsi gani unavyojiamini na huna hofu yoyote na unaweza kuishi na mwanamke yoyote bila kujali umri, elimu au uchumi wake.
 
hii imekaa kuwa we unapenda kulelewa na unapeda kuongozwa na si kuongoza.... sasa hizo ni tabia za kike mkuu samahani neno kali lakini ukweli,.,..... kwa hyo sasa anza kutongoza waodogo kwako

Angesema anapenda wanaume nadhani ingekua sahihi kusema anatabia za kike...nadhani yupo attracted na wanawake waliofikia level yakujielewa...wao ninani...na wanataka nn...matured.
 
Hebu tutafutane maana nilijua nko peke yangu mwenye hiyo nyota ila hawa wadada mature safi sana wanajielewa na hawako kimaslahi kwanza hawataki uteseke yaan ukilia tuu na kuulizwa tatizo nini Bae .....
Sio kila siku unaombwa pesa na ped na mapenzi hawajui
 
Ukiona hivyo ujue kuwa you are very focused in your life so automatically unakuwa na wasichana au wanawake wasioumiza kichwa wanawake wengi wanaodate younger men huwa hawaumizi kichwa kiongozi.
 
Mmmh!!!!!!!!! mimi nina pacha tayari na mtoto mkubwa kama yeye monaco
Nipo Pacha wangu Apologise Lady,ghj
Japo Umenizidi Umri but uta enjoy sana,nami "nitakulea" Tulia kwa Monaco hutajuta kuwa na hali uliokuwa nayo...Tena utajilaumu na kujutia siku zote Ulikuwa wapi kumuona Monaco...Mimi ni Toto sikivu...
 
Nipo Pacha wangu Apologise Lady,ghj
Japo Umenizidi Umri but uta enjoy sana,nami "nitakulea" Tulia kwa Monaco hutajuta kuwa na hali uliokuwa nayo...Tena utajilaumu na kujutia siku zote Ulikuwa wapi kumuona Monaco...Mimi ni Toto sikivu...

Wew unatafuta laana, unamtaka mama ako mdogo loh!!! Ushanikera
 
Back
Top Bottom