Salama wakuu? Nina rafiki yangu amenipa tafakuri mno usiku huu.alikuwa anaumwa, amezunguka kwa mitume na manabii ila hakupona
....
Ajabu ameponea Tanga, tena kwa mganga wa kienyeji. Hii imekaaje?
Kwanini wengi waliopinga yeye kwenda upande wa pili wenyewe huenda kwa waganga pia?
Kwa nn hasa...
Ungekuwa moyo basi isingetabiriwa. Ila kumbuka tu unabii ni LAZIMA utimie no matter what. Muangalie sana Mchina au Mrusi, mmoja kati ya hizi namba mbili
Robert. Sahihi kabisa, hata Yesu alikiri hili. Kumbe kuna wateule wameshapendwa na Mungu automatic. Hahaha ma gap haya
Sent from my A50s using JamiiForums mobile app
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.