wanzetu talent zao huenda sambamba na elimu.kwetu ni the opposite way, talent huenda sambamba na ushirikina.
unakuta(mfan) striker mkali kama ibrahim hajib, kabla hajaingia uwanjani, ananuizia maneno fulani ya kishirikina ili afunge goli.
hii tamthilia sio wanaume wa dar pekee yao, ni tanzania nzima na watz waishio nje ya nchi.
kuna familia za watanzania zinazoishi huko middle east, europe na america wanaifatilia sana tamthilia hii kupitia application ya azam tv.
huwa wanatuma sana maoni kupitia uongizi wa azamtv.
sultan ni...
Sumbula ni Character iliyojipatia umaarufu mkubwa miongoni mwa watazamaji wa tamthilia ya Sultan nchini tanzania.
Tamthilia hii huonyeshwa kwenye King'amuzi cha AzamTv kupitia chaneli yao ya Azam Two.
Jina lake ni Selim Bayraktar, amezaliwa mwezi wa saba mwaka 1975 katika mji wa Kirkuk...
seneta acha masihara pls.[emoji23]
pasha ameweka kibindoni degree mbili za masuala ya sanaa.
huyo gabo ukiondoa zile mbwembwe za nahau na misemo yake ya kiswahili iliyojaa ujanjaujanja, ana nini cha zaidi?.
anayeigiza sauti ya valide sultana ni muigizaji wa kitanzania anayefahamika kwa jina la godliver.
huyu hapa...kama hutojali m-follow instagram.
NB:
ukiondoa mastaa wa bongo movie wanaofamika sana kwa maskendo ya hapa na pale,sauti ya kiswahili katika tamthilia ya sultan inaigizwa na wasanii...
shukrani sana.asante kwa kuni-aknowledge.
tayari nimeshachia thread inayohusu wasifu wa muiguzaji ibrahim pasha.
Huyu ndio Ibrahim Pasha wa Tamthilia ya Sultan. - JamiiForums
karibu.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.