Huyu ndio Mwanadada Hurrem Sultana wa Tamthilia ya Sultan

Hajui kama hurrem na ibrahim ni mahasim, hajui sababu ya kuonewa mkewe ni nini, hajui hurrem pia anahusika na mambo baadhi kwenye kasri lake kama mchezo aloucheza na nora yule suriya wa mustafa

Ibrahim pasha atauliwa tena sultan ndio anahusika, na si ibrahim tu hata hadija atajiua validen atakufa, mustafa atakufa, mehemet atakufa, na sultan mwenyewe atakufa.
Naitafuta niangalie mwanzo kabisa ,naipendaa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Asante mkuu kwa uzi huu na nimeamua kuuweka katika sauti na picha katika mfumo wa video kwakua nimependa info ulizoandika.

Credit zako nimekupa.


 
Ingekua mimi nimepta huo mualiko dah aisee huwa jiran tuu akinialika naenda na kijiko changu sijui nini kingetokea ... Ila wasingenialika ... TeNa
 
Hawa waigizaji wamefanya kazi nzuri sana, aidha hata Azam waliotia sauti za Kiswahili wamefanya vyema sana kana kwamba hata sisi tusio elewa lugha iliyotumika tunafurahi.
 
Back
Top Bottom