Ibofwee
JF-Expert Member
- Apr 1, 2017
- 1,305
- 2,449
Ukikaa kwa shemej lazima uangalie shemeji anachokitaka, ni mwendo wa tibisii tunawaachia wanaume wenzangu wa dar mi huwa siangaliagi huo utumbo
Ukikaa kwa shemej lazima uangalie shemeji anachokitaka, ni mwendo wa tibisii tunawaachia wanaume wenzangu wa dar mi huwa siangaliagi huo utumbo
Mimi natamani kumjua aliyeingiza/kutia sauti ya Valide Sultana
Ukikaa kwa shemej lazima uangalie shemeji anachokitaka, ni mwendo wa tibisii tu
Anaitwa Godliver aliyeigiza mke wa cheche kwenye tamthilia ya Siri ya mtungi.!Mimi natamani kumjua aliyeingiza/kutia sauti ya Valide Sultana
Huyu dada kaigiza vizuri sanaa ,anatufundisha wanawake kujiamini na kuwa na nguvu zaidi
Sent using Jamii Forums mobile app
Jina lake limentoka ila ameigiza filam ya bahashaMimi natamani kumjua aliyeingiza/kutia sauti ya Valide Sultana
Ila Sumbula abadili tu utembeaji,Hahahha me sumbula zaidi, eti maskini akipata makalio hulia pwata pwata pwata ahahahhahaha
Mke anaezaje kumpindua mume?Nasikia baadae atampindua Sultan Suleiman?
Simpendi Hurrem naona ni mwanamke ambaye yupo radhi afanye chochote ili afanikiwe.Kifo chake kitaleta mgogoro mkubwa sana kwenye himaya ya Ottman. Hata watoto wa Hurreim waliumia sana.
Upooo? Miss uSimpendi Hurrem naona ni mwanamke ambaye yupo radhi afanye chochote ili afanikiwe.
Ni aina ya mwanamke akiingia kwenye familia ya watu anaisambaratisha ili tu yeye awe juu.
Nipo...nimekumiss piaUpooo? Miss u
Mpya mpya sijakuwepo humu mdaa?Nipo...nimekumiss pia
Hata mimi namchukia kupita kiasi.Simpendi Hurrem naona ni mwanamke ambaye yupo radhi afanye chochote ili afanikiwe.
Ni aina ya mwanamke akiingia kwenye familia ya watu anaisambaratisha ili tu yeye awe juu.
Zileee habari zetu hakunaMpya mpya sijakuwepo humu mdaa?
....kwenye udaku uniite!Zileee habari zetu hakuna
Kuna za kawaida tu
Sawa mama nitakutag....kwenye udaku uniite!
Ngoja niendelee kula bata na hubby hapa!
Appreciate wangu...I wish ningekuita hapa tupige mambo yetu!Sawa mama nitakutag
Enjoy dear.
Mimi niko mkoani lakini naangalia.tamthilia wakati mwngne zinakuwa katika real life yapo mengi mno yakujifunza.nawaachia wanaume wenzangu wa dar mi huwa siangaliagi huo utumbo
Vp mkuu kwani huko umeme wa REA ushafika huko mkoani?nawaachia wanaume wenzangu wa dar mi huwa siangaliagi huo utumbo
Hizi text zinanitia hasiramaana nipo mapumziko mwezi wa pili sasa , nadhani unaelewa sababu ni nini.Appreciate wangu...I wish ningekuita hapa tupige mambo yetu!
Niko over rejoice