Recent content by jamessungo

  1. J

    JamiiForums Tanzania Ticha gani wa twisheni ulikuwa unamkubali sana

    huyo nampata! Dr.chipa
  2. J

    JamiiForums Tanzania Ticha gani wa twisheni ulikuwa unamkubali sana

    Ila kuna jamaa anaitwa mbuga naye ni noma sana ktk chemistry na biology!
  3. J

    JamiiForums Tanzania Ticha gani wa twisheni ulikuwa unamkubali sana

    Kuna tcha mwingne wa o level anaitwa mwalim hidden naye alikuwa noma ktk hesabu
  4. J

    JamiiForums Tanzania Ticha gani wa twisheni ulikuwa unamkubali sana

    Hapana chezea muddy physics!..kwa wale waliopita mchikda wanampata sana!
  5. J

    JamiiForums Tanzania Ticha gani wa twisheni ulikuwa unamkubali sana

    Kila mwanafunzi lazma kuna ticha wa twit anaye au aliyemkubali kinoma!..wakati wa analogy kulikuwa na akina mkandawile,kazibure na mama shija! Digitali nayo ina wakali kama muddy physics 'kamshana' huyu jamaa nilikuwa namkubali sana kuanzia o level had a level hebu na wewe tiririka matcha wa...
  6. J

    JamiiForums Tanzania Radio imaan

    Hawa jamaa wanachambua vizuri sana chambuzi zao
  7. J

    JamiiForums Tanzania Radio imaan

    Kwa wale wapenz wa radio imaan hebu tune usikie siasa chambuz kuhusu mwalim nyerere na muungano
  8. J

    JamiiForums Tanzania Stamina wazo la leo vs roma 2o30!!..nani mkareee!!!

    Ila ka stamina kana mafumbo kwel!!..yan m huwa hata ckaelew !! Mara ooh!..unaweza kuish mwembe yanga thn ucwe...!??!
  9. J

    JamiiForums Tanzania Stamina wazo la leo vs roma 2o30!!..nani mkareee!!!

    Stamina funika bovu
  10. J

    JamiiForums Tanzania Stamina wazo la leo vs roma 2o30!!..nani mkareee!!!

    Ila me naona kama stamina ni mkali kwan roma anaropoka 2!!..
  11. J

    JamiiForums Tanzania Stamina wazo la leo vs roma 2o30!!..nani mkareee!!!

    Nimesikiliza nyimbo mpya ya stamina na fid q..duh!..hapa mtaani kuna ubishi eti we kwa upembuzi yakinifu unaona nyimbo ipi kali kati ya hizi mbili!...TIRIRIKAA!!
  12. J

    JamiiForums Tanzania It's messi again!!!the football genius!

    Cr7 kafuta machungu ya kukosa ballon d'or kwa hat trick!
  13. J

    JamiiForums Tanzania It's messi again!!!the football genius!

    Hahahaha!..cr7 jana kaanza moto wake uscheze kabsa na cr7
  14. J

    JamiiForums Tanzania It's messi again!!!the football genius!

    Tuwe wakwel 2 la liga is da best league for now thn messi ni bora sana zaid ya cr7
  15. J

    JamiiForums Tanzania It's messi again!!!the football genius!

    Kama kawaida undisputed messi the genius kaonyesha he's the great footballer the world has ever witness!! Kiukwel dogo anajua na hana mpinzan ktk sayari hii!...cr7 wenu atasubr sana kwa huyu mtoto!..chezea ''MESSIAH'' wewe!!..
Back
Top Bottom