Recent content by jameson567

  1. J

    Ni ruhusa msimamizi wa mirathi kuuza mali za marehemu bila ridhaa ya warithi

    Mkuu tafsiri zipo nyingi tu, mahakama za Tanzania unazijua, na watanzania unawajua vizuri. Ninachoweza kukushauri nyumba au kiwanja kikishakuwa cha urithi tena wa watu wengi achana nacho. Vinginevyo uwe mtu wa kupenda migogoro. Mifano ni mingi ya msimamizi wa mirathi kuuza nyumba kwa tamaa zake...
  2. J

    Waziri Jerry Silaa, kwanini hushughuliki na maafisa ardhi? Jifunze kutoka Libya ya Gaddafi pia

    Sawa, kila mtu abakie anavyojua. Inaonekana hujawahi kuona mgogoro wowote wa nyumba ya urithi, na hujui neno tamaa,ujanja,utapeli nk. Au upo hapa kwa ajili ya ubishi tu. Hakuna tajiri mwenye akili timamu ataenda kununua nyumba ya urithi tena kwa ela nyingi bila kuwaona warithi. Aidha elimu yake...
  3. J

    Waziri Jerry Silaa, kwanini hushughuliki na maafisa ardhi? Jifunze kutoka Libya ya Gaddafi pia

    Hujui usemalo, ndo maana ukaanzisha thread. Waziri kaelezea hiyo sheria mara nyingi kwenye hiyo ziara yake refer Ile kesi ya ghorofa la lenye WAKFU Kariakoo. Ila ukimsikiliza ukiwa umejaa chuki hutamuelewa au pengine wewe ni moja ya matapeli wa ardhi. Ukitaka kununua ardhi ya urithi yoyote...
  4. J

    Waziri Jerry Silaa, kwanini hushughuliki na maafisa ardhi? Jifunze kutoka Libya ya Gaddafi pia

    Hao wapuuzi wanaomlalamikia waziri ni kwasababu hawajawahi dhulumiwa au hawaijui Tanzania vizuri. Mtu ananunua kiwanja kina mgogoro wa urithi, anatoa ela kabisa bila kuwaona warithi wote halafu baadae anakimbilia mahakamani, kesi kama hiyo Kuna aja ya ku deal na afisa ardhi yoyote!?,si ni uzembe...
  5. J

    House4Sale Nyumba Inauzwa Vingunguti

    Hivi mnajua thamani ya milioni 85($33,000) kweli!?, watanzania tumekuwa wajinga na wapumbavu sababu ya vijiwe. Mtu wa kutoa milioni 85 sio fala ni tajiri, Kuna tajiri wa kutoa milioni 85 kwa ajili ya hicho kijumba vingunguti kweli!?,tuwe wakweli.., kweli sio Kila mtu ni mfanyabiashara. Kwa akili...
  6. J

    Mara ya kwanza kupima ukimwi

    Sawa👍
  7. J

    Mara ya kwanza kupima ukimwi

    Mkuu huna akili, hata Marekani na ulaya mafala ni wengi sana kama wewe na ndo msingi na mtaji wa utajiri wa mabepari. Kwa taarifa yako raia wa Marekani hasa weusi vichwani weupe kama wewe. Mwanzilishi wa UKIMWI anaitwa Robert Gallo, m google huyo tu. Nakuacha na ujinga wako.
  8. J

    Mara ya kwanza kupima ukimwi

    Muulize daktari yeyote kama amewahi kuona kirusi cha ukimwi (Human immunodeficiency virus), popote kwenye microscope!?,hata kina shape gani!?,halafu muulize wanachopimaga maabara ukiacha hutu tuvipimo twa siku hizi, kwenye microscope ni nini!?,na tofauti yake na mtu aliyepungukiwa Kinga...
  9. J

    Mara ya kwanza kupima ukimwi

    Mimi najaribu kukupa elimu bure. Nchi nyingi za wazungu wanajua haya ninayokwambia, imebakia Africa na nchi za ulimwengu wa tatu.(Third world),hayo ma ARV's ndo Ukimwi wenyewe. Yanaua Kinga zako za asili unabaki kuyategemea hayo maisha yako yaliyobakia. Ukiacha unashambuliwa, usipoyazingatia...
  10. J

    Mara ya kwanza kupima ukimwi

    Pitia pitia hicho kitabu hata page 20 za mwanzo zitakupa mwanga kuhusu huo ugonjwa hewa. Ruhusu mawazo tofauti na ulivyokaririshwa ndo utaelewa.
  11. J

    Mara ya kwanza kupima ukimwi

    Sijaongea hivyo bahati mbaya na kama upo mbali na yanayoendelea ulimwenguni huwezi kunielewa kamwe. Narudia, UKIMWI ni Upungufu wa Kinga Mwilini, upo miaka mingi sana nyuma. Siku ukiwa na mafua makali au kinga zako zimeshuka kidogo ambayo ni kawaida ukipima hiv watakwambia una AIDS(Aquired...
  12. J

    Mchungaji Mbarikiwa: Kilichokutuma Christina Shusho ni umalaya tu hakuna huduma hapo

    Hata huyo naye mzushi tu, "Mchungaji Mbarikiwa",ndo nini?!,amebarikiwa na nani!?,Kuna ushahidi au ndo kujikweza tu!?,siku hizi yameibuka mambo ya ajabu sana. Mtu anajiita mchungaji Mbarikiwa na watu wanamuona kama Mtakatifu fulani hivi.
  13. J

    TANZIA Mfanyabiashara Emilian Woiso afariki dunia

    Mkuu waweza kuwa sahihi kiasi, ila mwishoni umechukua majukumu ya mwenyezi Mungu!.. Hakuna binadamu mwenye uhakika kuhusu toba ya mwingine, ni hisia tu. Hiyo ni siri ya Mtu na Muumba wake basi. Hujui dakika ya mwisho kabla hajafa alitenda dhambi gani, pengine alikufuru mwishoni. Kuacha mali...
  14. J

    TANZIA Mfanyabiashara Emilian Woiso afariki dunia

    Kwani hapa mahakamani!?,hakuna anayejaribu kumuaminisha mtu. Unasoma unaamini,au hauamini vyote sawa tu. Ndo maana waliokosea kuhusu marehemu wamerekebishana. Ukifa kama ulikuwa msafi utasemwa vizuri, kama jambazi,tapeli, muuaji utasemwa pia. Watu wote humu wamseme Lesheya vibaya Ili wapate...
  15. J

    Rais Samia, vyeti feki kwenye taasisi za Umma bado ni tatizo

    Hili swali anatakiwa aulize mtu ambaye hajakulia Tanzania, anaongea tu kiswahili cha kufundishwa. Kwa mfano ulifukuzwa vyeti feki halmashauri ya Mpwapwa - Dodoma mwaka 2017, huwezi kurudishwa upya halmashauri ya Songea - Ruvuma 2022 kama una connection nzuri!?.., hii nchi achana nayo, kipindi...
Back
Top Bottom