Recent content by jamesi10

  1. jamesi10

    JamiiForums Tanzania Rungu la Marehemu Pembe kupewa Samia

    Vitu vingine kutaka sifa tu sasa rungu la nn kwa rais .. huyu mama washamfanya km bibi
  2. jamesi10

    JamiiForums Tanzania Hotuba Ya Rais Samia Yapongezwa kila Kona Mitaani, Yawakosha na kuungwa Mkono na Watanzania

    Hv kwann usijisemee wewe mwenyewe unatujumlishaje na sisi nani amekwambia imepongezwa
  3. jamesi10

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mke wangu anavaa mavazi yasiyomsitiri tukiwa chumbani

    Wengine tunapenda wake zetu wawe hvo chumbn wewe unakataa
  4. jamesi10

    JamiiForums Tanzania Swali lenye Mantiki: Siku Mbowe akitekwa na kupotezwa Makamanda wa CHADEMA mtafanyaje?

    Hapo sio makamanda wa chadem ni kutaka kufanya nchi ichafuke
  5. jamesi10

    JamiiForums Tanzania Kwa Masaa 24 tu Mchango wa Gari mpya ya Tundu Lissu wazidi milioni 10

    Mpeni na urais kabsa
  6. jamesi10

    JamiiForums Tanzania Orodha ya Watanzania maarufu waliokufa bila kujenga nyumba

    Mbona apo T I D hayupo nasikia nae anakaa kwa mama ake mpk leo
  7. jamesi10

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wadada wa Saluni Sitaki Uchokozi Wenu

    [emoji23][emoji23][emoji23]pole ndg yang
  8. jamesi10

    JamiiForums Tanzania Kwa wale waliowahi kutunza siri nzito kwa muda mrefu tukutane hapa

    Yan hapa amna aliyetoa siri hzi zoote n kawaida ila kila mtu anayo kubwa kuliko asikwambie kila mtu anaoukurasa wake ataki usomwe kwa sauti hata iweje hyo inabaki kuwa aibu yake milele
  9. jamesi10

    JamiiForums Tanzania Wakumbuka nini enzi za shule ya msingi?

    Nakumbusiku siku nilichapwa viboko 21 aisee acha kabsa sijawaii na sitasahau yule mwali sema mungu amlaze pema pepon alikufa kwa presha baada ya mzee magu kuwatumbua wale wa vyeti feki na ukitazama alikua anakaribia kustaafu
  10. jamesi10

    JamiiForums Tanzania Ni wimbo gani unaoutafuta sana bila mafanikio?

    Wadau mwenye nyimbo ya juma nature ft manzese crew OFISIN NI MIGUU naomba
  11. jamesi10

    JamiiForums Tanzania Ni ipi siri ya Wachaga kuwa kabila lililoyaacha makabila mengine mbali mno kwenye mafanikio?

    Na kama akiwa jambazi nenda kwao uatelewa
  12. jamesi10

    JamiiForums Tanzania Mzungu akikupa cha bure kwa mkono wa kulia piga jicho mkono wake wa kushoto

    Kwanza ungekuta imeisha maana yupo aliyegunduaga dawa ila akafa na haikujulikana nn chanzo
  13. jamesi10

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimemchoka huyu dada, nataka tu nianze maisha mengine. Hana akili kabisa

    Na maisha haya pesa ilivo ngumu inabidi iheshimiwe bhana huyo n jin mfilisi shtuka bro
  14. jamesi10

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hawa wanawake wakikukuta una upwiru unaweza hata kufikiria kuoa, kumbe ni bomu

    Dah angalau na mm nimepata jambo
  15. jamesi10

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hawa wanawake wakikukuta una upwiru unaweza hata kufikiria kuoa, kumbe ni bomu

    [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Back
Top Bottom