Recent content by jamesandrew

  1. jamesandrew

    JamiiForums Tanzania Je, haya ndiyo yanaweza kuwa maswali magumu na majibu mepesi?

    Mtoto anayezaliwa na kufariki hapo hapo kusudio linakua nini hapo?
  2. jamesandrew

    JamiiForums Tanzania Simulizi ya kijasusi - Nilimdhania kahaba kumbe bikra

    Mwamba Roma aka Hades ongea na miungu wenzako mambo yanatuzidia maji huku, mvua barabara zinakatika, aridhi zinatembea basi watuachie hata kidogo mambo yaendele
  3. jamesandrew

    JamiiForums Tanzania Russian “Special Flight Squadron” Lands in DC. Ukraine War to End.Russia lays out terms of surrender

    Maumivu ni makali sana kwa watu wa Magharibi, kuna makampuni mengi ya Marekani na Ulaya mali zao zimezuiliwa Urusi huko. Hii kitu Ulaya na Marekani washasanda teyari lzm wakubali masharti tu
  4. jamesandrew

    JamiiForums Tanzania Bosi wa Wagner atangaza hatua kuu 'kuifanya Urusi kuwa kubwa zaidi'

    Kundi hilo linafanya kazi kuifanya Afrika kuwa "huru zaidi," Evgeny Prigozhin alisema katika video ambayo inaonekana ilirekodiwa katika bara hilo. Kampuni ya binafsi ya kijeshi ya Wagner inaendelea kuajiri na inafanya kazi kwa bidii "kuifanya Urusi kuwa kubwa zaidi," mkuu wa kundi hilo, Evgeny...
  5. jamesandrew

    JamiiForums Tanzania Dark days 17/03/20

    Edeni ni Tanzania. Chanzo cha Mto kush ni ziwa Victoria. Kumbuka Dunia ilikua bara moja kwa wasomi wa jiografia wanajua kitu kinaitwa Pangea, ilianzia Afrika Mashariki ikiwapo Tanzania kwenda Misri mpaka maeneo ya India huko. Ila mengi tumebadilishiwa lkn kumsaidia mwambie akasome kumbukumbu la...
  6. jamesandrew

    JamiiForums Tanzania Dark days 17/03/20

    Bibilia haijasema kama chanzo cha moto minne kilikua kimoja, duniani nchi pekee ambayo imezumgukwa na moto minne ni Tanzania peke yake. Mto Ruvuma, Mto Pangani/Wami, Mto Rufiji na Mto Kagera na Malagarasi. Usije na nadhalia ya kwamba mito ilipotoe kutokana na gharika la Nuhu, wakati ghalika ni...
  7. jamesandrew

    JamiiForums Tanzania Afrika katika uasi: Je, ukombozi wa pili dhidi ya ukoloni uko kwenye upeo wa macho?

    Hivi kati ya anayevua samaki wako na kwenda kuwauza na kisha anakuletea kidogo kwa kusema msaada anakupa na yule anakuja na kukufundisha namna Bora ya kuvua samaki kwa pamoja na kwenda sokoni pamoja ni nani utaungana nae? Urusi ana rasilimali ambazo Afrika anazo zote, kwanini usikae nae chini...
  8. jamesandrew

    JamiiForums Tanzania Afrika katika uasi: Je, ukombozi wa pili dhidi ya ukoloni uko kwenye upeo wa macho?

    Baada ya msururu wa mapinduzi, nchi moja baada ya nyingine zinasonga mbele kufukuza mabaki ya madola ya zamani Africa ni chimbuko la ustaarabu wa binadamu na bara tajiri zaidi katika sayari zote upande wa suala la maliasili. Lakini kulingana na Kapteni Ibrahim Traore, rais wa Burkina Faso...
  9. jamesandrew

    JamiiForums Tanzania Simulizi ya kijasusi - Nilimdhania kahaba kumbe bikra

    Roma anaondoka kwemda wapi tena?
  10. jamesandrew

    JamiiForums Tanzania Mpaka leo, pesa iliyopatikana kutokana na mauzo ya timu ya Chelsea haijatumika

    Wewe leo tunalalamika USD hakuna unadhani kwanini, umewawekea vikwazo matajiri wa Urusi, umefungia pesa zao nk, mfano leo bongo usema Bakheresa, Mo na wengine wasipewe pesa benki unadhani nini kitatokea huku chini? Urusi ni jabali kubwa sana, benki zinafiliska huko Marekani unadhani kwanini?
  11. jamesandrew

    JamiiForums Tanzania Dark days 17/03/20

    Waswahili na wahenga wanamsemo usemao kamba Damu ya mtu ikimwagika inafunikwa na nyingine si mchanga. Je ni kweli huu msemo?
  12. jamesandrew

    JamiiForums Tanzania Simulizi ya kijasusi - Nilimdhania kahaba kumbe bikra

    Huyu Hades aka Roma Romoni keshaanza kuniharibu aisee, kanijaza ujasiri wa kumfuata mdada wa watu kwenye Dualis yake na kumsalimia na kisha kumwambia nimekuona dada na nimevutiwa nawe nikaona si vibaya kuja kukusalimia, kwa majina naitwa Putin lkn sio Putin mpiga mabomu mimi ni Putin wa Tz...
  13. jamesandrew

    JamiiForums Tanzania Simulizi ya kijasusi - Nilimdhania kahaba kumbe bikra

    Kuna muda maishani unakutana na wasumbufu mpaka unatamani ungekuwa na uwezo na nguvu kama za mwamba Roma aisee.
  14. jamesandrew

    JamiiForums Tanzania Yericko Nyerere: Tofauti ya Usalama wa Taifa, CID na Military Intelligence

    Ni nani yuko juu ya mwezake kati ya Usalama wa Taifa na Jeshi? Ni nani anafanya vetting ya mkuu wa majeshi, na nani anafanya vetting ya Mkuu wa Usalama wa Taifa? Naimba kufahamu hayo mambo mawili tafadhali mana sjui na huwa najiuliza mno akilini mwangu
  15. jamesandrew

    JamiiForums Tanzania Dark days 17/03/20

    Ingekuwa vyema kama ungetupa jina la uzi mkuu
Back
Top Bottom