Recent content by james mtemi

  1. james mtemi

    Nape awananga CHADEMA

    nape ni mfa maji haishi kutapatap anashindwa kumwaga sera eti kwa akili zake ndogo anafikili atawagombanisha ukawa amechemka watu wameamka hawadanganyiki tena hata atume mamuruki hatafanikiwa aendelee kuropoka tu ni kawaida yeke
  2. james mtemi

    Sitta: Warioba amejitakia mwenyewe

    huyo konda wenu asije huku kanda ziwa siku akitia mguu lazima tumchape bakola sana kisha tumule kiboga hana adabu hata mzee wake anaweza kumzalilisha
  3. james mtemi

    Sioni tofauti ya CHADEMA na kampuni ya upatu ya DECI, UKAWA wajihadhari

    mleta mada unamatatizo ya akili huhitaji kwenda shule kujuwa majambazi wakubwa wa nchi hii ni akina nani wanakunwya chai bil 1wewe sijuwe kama leo umefungua kinywa pole yako nenda lumumba kachukue buku 7
  4. james mtemi

    CHADEMA inatumia koti la UKAWA kujikongoja kisiasa

    hivi mzee wa gombe nae yupo kwenye msafala wa profesa wa kichina
  5. james mtemi

    CHADEMA inatumia koti la UKAWA kujikongoja kisiasa

    hivi mzee wa gombe nae yuko kwenye mdagala liprofesa la kichina
  6. james mtemi

    CHADEMA inatumia koti la UKAWA kujikongoja kisiasa

    huko musoma wanchi wanalala polini kisa maabala huku presdar nakula kuku kwa wachina ccm ili washike adabu 15 ni kuwatupa dampo wamezidi kunyanyasa wananchi
  7. james mtemi

    Askofu Mwamasika: UKAWA sawa na muunganiko wa Walevi

    chanzo uhuru kwahiyo msishangae hivi unategemea uhuru+magamba wataipenda ukawa kalakabao
  8. james mtemi

    Picha na Maelezo: Yaliyojiri ktk Viwanja vya Jangwani Mkutano wa UKAWA 26/10/2014

    magamba wataisoma ukombozi unakuja punde
  9. james mtemi

    Lubuva: Mgombea mmoja UKAWA sawa

    wakikorofishana mbele ya safari ww inakuhusu nini kaa kimya tuache tusonge mbele na makamanda wetu
  10. james mtemi

    GE2015 UKAWA kusimamisha mgombea Urais 2015

    usiwe mpiga lamuli tukuamini kwani ww ni nani
  11. james mtemi

    GE2015 UKAWA kusimamisha mgombea Urais 2015

    nimemcheki nape anawadanganya wana chuo kupitia litbc hana lolote ameishiwa sela kazi yake sasa ni matusi
  12. james mtemi

    GE2015 UKAWA kusimamisha mgombea Urais 2015

    maccm ndivyo yalivyo hayasomi alama za nyakati mtz wa leo sio wa jana huyo jamaa namshauli andelee kupokea kapelo na buku teni huku mama na baba yake wanatembea ------ wazi na kupekua wewe na nali ccm
  13. james mtemi

    Huyu ndiye Mwigulu Nchemba

    Nanyie ma ccm mna2changanya ma lowasa acheni zenu hata mwigilu hana lolote
  14. james mtemi

    Kikwete kwenda Mwanza kuzindua barabara ya Usagara - Kisesa

    huyo jakaya mi naon kampeni ya chama hakuna lolote
  15. james mtemi

    Halima Mdee apelekwa mahabusu

    halima atachomoka 2 kwani kwenda sero ni kufungwa hata ww unaweza kupelekwa nchi yenyewe hii isiyofata utawala wa shelia shauli yoko
Back
Top Bottom