Uvccm kutoka Iringa walisema waachiwe suala la ulinzi pekee Dom! Hiki ni kikundi kutoka mkoa mmoja tu, je kwa nchi nzima? Hapa naona siasa tu zinagongana!
Nyie achani discussion zisizo na mashiko! Fikiria utampeleka mwanao huko huko kwa walimu unaowasema vibaya, Leo hii unavyojipambanua hivi ni kwa sababu ya walimu walikuelemisha hadi hapo unatumia knowledge zao! Kumbukeni tuna viongozi wazuri sana ambao walikuwa walimu kabla! Teaching...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.