wala huitaji bajet kubwa ni simple research.by observation,nenda mikocheni A. mitaa ya chama pale kama unakuja soko gezaulole miguu ndio chakula pamoja na vichwa,inaungwa vizuri na nyanya hiyo ndio lunch n ugali au wali,nenda msasani na mwananyamala ni style hiyohiyo ,mimi sio mwanasiasa ila kwa...
Achana na inayochomwa barabarani ukienda uswahilni maeneo ya mkocheni A,Msasani,nk miguu ya kuku wa kizungu ni mboga ya mchana na usiku ya kula na ugali au wali,utumbo unasokotwa vzuri unakaangwa kipande mia tu,sasa jamaa anaetaka utafiti akajionee sio anataka aafuniwe tu atapata divsion V
Hallow mimi nilikubali speech za prof. Ni kweli tanzania inaumizwa na watanzania kwani mengi katika speech yote ya prof. Ameona la kujibia ni hili la dar es salaam tatu?vipi kuhusu zile gharama za uwekezaji anazimudu?watu wampatie?mimi naona mengi ni walewale tu kulilia maslahi yake,kwani...
Kumbe na wewe ni chokochoko,sasa ulitaka nani atoe tamko zaidi ya wale maaskofu ambao ndio viongozi?,hivi unapoharibu kanisa ndio suruhisho?,kwanini wasingeenda pale ubungo wakanunua biblia bei rahisi tu wakaikojolea?,hasara kubwa unayosababisha kwa sababu dhaifu ndio mungu alivyowatuma?,mnaacha...
Kabisa ndugu maana wakishamaliza shughuri yao ya kupondea ukristo na kuikosoa biblia na uchafu wao mwingine ambao hauna tija wanapitisha kikapu kuomba sadaka,sasa sijui wanaipeleka wapi zaidi ya kuitafuna,nimeshuhudia hiyo mwenge,bunju,wapigwe marufuku ata vurugu zikiisha,wakafanye misikitini.
Kama ulitazama ITV siku ile ilielezwa wazi kabisa ni watoto wa ndugu yake waziri wasira,sasa sijui ilikuwaje yamekuwa mazito,labda siku hizi habari ni chache.
Siasa inahitaji darasa,na njia pekee ya kulikomboa jimbo sio propaganda ni kutekeleza ahadi,mfano CCM si walitoa ahadi arusha ingawa mbunge ni wa CDM wanaweza kutekeleza miradi mingi ya maendeleo kupitia serikali,mimi ningependa wananchi wachague wabunge wa upinzani na kupitia hilo serikali...
Just be flank,hivi unaweza kumfananisha lowasa kiuongozi na hao wengine?,jamaa alikuwa sio mchezo,pamoja na mapungufu aliyonayo bado record yake ya utendaji haijaweza kuvunjwa ndani ya miaka yake miwili ya uPM.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.