Recent content by james katto

  1. james katto

    JamiiForums Tanzania Polepole: Hata Mungu hakutaka upinzani ndiyo maana alimfukuza shetani mbinguni

    Polepole kalewa madaraka.kamsahau mungu. Sent using Jamii Forums mobile app
  2. james katto

    JamiiForums Tanzania SERIKALI: Tumepata pigo kifo cha Mwanafunzi NIT, tutagharamia msiba na mazishi

    Uliua hili uzike uonyeshe umaarufu?muogopeni mungu.huwezi ua binadam, ukazani utaoga utakate.dam, itawaghalim mpaka vizazi vyenu na vitukuu.
  3. james katto

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli asikitishwa na kifo cha Mwanafunzi wa NIT, aliyeuawa na Polisi

    Maigizo tu, hakuna cha kuguswa na msiba. Nyinyi ndo, wahusika no, 1.acheni uchu wa madaraka.mungu atawaumua siku ya mwisho.huwe kutawala kwa kumwaga dam.jamani!Tanzania ni bora zaidi kuliko mnachotuulia.
  4. james katto

    JamiiForums Tanzania Maandamano ya CHADEMA: Aqulina Akwilini Mwanafunzi wa mwaka wa kwanza NIT apigwa risasi na kufariki; Polisi wakiri kuhusika

    Mnashindwa kupambana na majambazi mnapambana na raia asiye na siraa, nisawa kupigana na mtu aliyefungwa mikono na miguu, alafu unajisifu kuwa umempiga. Polis mjitafakari.
  5. james katto

    JamiiForums Tanzania Hatimae Polepole awaangukia Maaskofu

    Nadhani shetani ndo,uvizia kisirisiri.huyo nae anatakakutimiza kazi ya shetani. Nivigum kwa Askofu anaejua kazi yake kumtemea binadam.
  6. james katto

    JamiiForums Tanzania Ujumbe kwa makada wote wa CCM wanaomkashifu Askofu Zakaria Kakobe na maneno yake

    Daima mashetani hawawezi kuunga mkono agizo la muumba. Wao, hupinga tu, hilikutimiza ushetani wao.
  7. james katto

    JamiiForums Tanzania Saidi Maulid Mtulia atangaza kugombea tena jimbo lake la Kinondoni kwa tiketi ya CCM

    Kama unawapenda wape kidogo ulizopewa.
  8. james katto

    JamiiForums Tanzania Polisi Tanzania wadaiwa kumtendea ukatili kijana Kanani Samwel kwa kukosoa mchakato wa Uchaguzi

    Huna akiri, akujitaki kusema ukweri ni kosa?
  9. james katto

    JamiiForums Tanzania Inakuwaje CCM ndiyo wanauchoka uenyekiti wa Mbowe?

    Gubu la wifi hilo, ccm, bwana, wanamambo.
  10. james katto

    JamiiForums Tanzania Kama simu yako ni original chora huu mstari

    ______________
  11. james katto

    JamiiForums Tanzania Kama simu yako ni original chora huu mstari

    _________________
  12. james katto

    JamiiForums Tanzania Polepole: CCM katiba sio muhimu, tunataka kwanza wananchi wawe na chakula mezani washibe ndio muhimu

    Kwakuwa wwe ulishashibishwa. Ulipokuwa hoi, kila siku kwenye tv. Unalalamikia katiba. Polepole, muogope mungu.
  13. james katto

    JamiiForums Tanzania Ni sahihi kwa mbunge kuinanga serikali yake akiwa nchi jirani?

    Mnapozia watu wasiseme ndani ya nchi yao watasemea wanapoona panafaa. Nguo, mmejivua weyewe mnapoanza kuua raia wenu, mnajiona badommevaa?
Back
Top Bottom