Ndio ni ukweli kabsa wanafunz tulio nao weng gov ni wachomvu ususan shule za kata,maana weng wao hapend kwel kujsomea mpaka mjared upte, hao prev cna nao uwelewa sn ila
Kwanza nilichaguliwa facult ambayo ckutaka , pale udom, ambayo ilkuwa environmental issue, ckuitaka, my ob ilikuwa teaching, ambacho kilfanya nikaenda dip mkuu,
Mkuu unaeuliza kwa nn ckuenda vasty moja kwa moja mkuu ni history ndef kidogo mkuu, kama una wacwac na majb yang bas nikupe index namba yng mkuu uchek, csemi uongo mkuu dhambi kwanza
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.