Msaada kwa anayekifahamu Chuo cha Ualimu Arusha

mandojo

Member
Jul 2, 2016
41
5
Habari wadau,
Nahitaji msaada kwa anayekifahamu Chuo cha Ualimu Arusha. Nahitaji ada kwa day&boarding pliz!!
 
habar wadau, naitaj msaada kwa anayekifaham chuo cha ualim arusha, ada kwa day&boarding pliz!!
sinon teachers college, cjui ada zao Ila nakumbuka matangazo yake radio maria miaka 3 iliyopta,, jaribu kugoogle utapata taarfa kml pamoja na form
 
mi nimesoma pale kiukweli kipo fresh kwa ufundishaji ada ni m1,2 kwa boarding ila day ni laki 9
 
asante mkuu, na je kwamfano nikiwa nasoma day, ada ntalipa awamu ngapi?? na ntakuw natoa sh ngap kila awamu !!"
 
Yuko sawa aliyesema icho kiwango maana na mimi nimesoma pale
 
Back
Top Bottom