Msaada: Kozi ya Education leadership and Administration inahusu nini?

Executor

JF-Expert Member
Joined
Sep 29, 2014
Posts
872
Reaction score
999
Habari wataalamu....
Kuna course ipo katika moja ya chuo kilichopo bagamoyo inaitwa ''EDUCATION LEADERSHIP MANAGEMENT AND ADMINISTRATION''. Hii course kama nitaichukua, inahusu nini na je inaweza kuwa na ajira kweli?
 
Nami nimeiona kwenye chuo cha ADEM, Ngoja wataalamu waje@
 
Dah kweli siku hizi kuna.kozi.nyingi. Ila sasa hapo.ni.kuwa kiongozi maana yake fursa za ajira ni chache.sana.
 
Back
Top Bottom