Recent content by jameela

  1. J

    JamiiForums Tanzania Waziri January Makamba katika kashfa nzito ya kifisadi

    man mange is a good player kwenye sakata la mitandao only few will know her game...baada ya kumchafua hoyce temu kwa mujibu wake kuna mpango uliokuwa unasukwa chinikwachini ili arudishwe na kushitakiwa hapa nchini sasa anachokifanya kwa sasa ni either kutoa siri ambazo pia ni mchezo mchafu...
  2. J

    JamiiForums Tanzania Faini kwa shule binafsi

    naomba kuuliza huu mtindo walionzisha shule binafsi wa kuwadai wazazi faini baada ya kuchelewesha kulipa ada kwa kila instalment laki moja je ni sahihi au nalo ni jipu jipya????hivi kweli mzazi amechelewesha kulipa ada inawezekana kutokana na matatizo ama sababu mbalimbali halafu leo...
  3. J

    JamiiForums Tanzania Faini kwa shule binafsi

    Naomba kuuliza huu mtindo walionzisha shule binafsi wa kuwadai wazazi faini baada ya kuchelewesha kulipa ada kwa kila instalment laki moja je ni sahihi au nalo ni jipu jipya? Hivi kweli mzazi amechelewesha kulipa ada inawezekana kutokana na matatizo ama sababu mbalimbali halafu leo...
  4. J

    JamiiForums Tanzania Toka kwa Wananchi: Kero na vitendo vya kifisadi vinavyoendelea nchini vinavyotakiwa kufuatiliwa

    Jipu la Miradi ya NGOs ni kubwa. Wana miradi inayowaingizia pesa nyingi huku wakijifanya kutoa misaada ila kiukweli ni kukwepa kulipa kodi za serikali. Mifano halisi na majumba ambayo watakuwa wameingiza vifaa bila kulipia kodi kwa kigezo cha kusaidia jamii ila kiukweli nyumba hizo...
Back
Top Bottom