naomba kuuliza huu mtindo walionzisha shule binafsi wa kuwadai wazazi faini baada ya kuchelewesha kulipa ada kwa kila instalment laki moja je ni sahihi au nalo ni jipu jipya????hivi kweli mzazi amechelewesha kulipa ada inawezekana kutokana na matatizo ama sababu mbalimbali halafu leo ukamuongezee faini ya kulipa hivi hizi shuile binafis zina taka nini kwa nchi hii wakati serikali ikiendelea kumrahisishia mwannafunzi kupata elimu kwa urahisi wao wanongeza ugumu huu,naomba kueleweshwa kama hii ni sahihi na kama sio sahihi basi waziri wa elimu afuatilie swala hili kwa karibu