Inaonekana wadau wa hii kozi ni wachache mno basi hata wale wengine wenye kozi za practicals..mnaweza kuja pia kutoa uzoefu kwa open University inakuaje Ratiba zake
Habari wakubwa bila shaka mpo salama, nawahitaji wote mliosomo hiyo kozi au mnaendelea na masomo kozi hiyo hapo juu. Naomba uzoefu wenu katika hiyo kozi kuanzia uzuri wa kozi yenyewe katika nyaja zifuatazo:
1. Kwa maendeleo ya mtu binafsi yaa baadae kuanzia ajira na hata kujiajiri.
2...
Tunaomba sammary wazee, tittle inavitutia na kutoa mate lakini wengine dah kusoma mwanzo mwisho ni shida..
Kinahusu nini story yake inahusu nini je Kuna secret Gani JAMAA aliipata mpaka kusema maeneo haya
Habari wakuu, huduma ya online copy haipo katika website ya nida ila kuna wataalam huwa wanauwezo wa kuzipata. Hivi ujanja gani wa kiteknolojia hutumika?
Habari wakuu, huduma ya online copy haipo katika website ya nida ila kuna wataalam huwa wanauwezo wa kuzipata. Hivi ujanja gani wa kiteknolojia hutumika?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.