Nahitaji kujifunza basics za utabibu

mens12

Member
Apr 8, 2022
69
143
Habari za wakati huu wadau wa elimu, mimi ni kijana ninaye jihusisha na utoaji huduma ya afya kwa njia ya mitishamba, nimefanya kazi hii kwa mafanikio makubwa. Imefika wakati nahitaji huduma yangu ifahamike zaidi na kuwa professional zaidi.

Elimu yangu ni form 6 nilichukua mchepuo wa art A-Level, O level nilisoma masomo ya sayansi na kuscore Biology B na chemistry C ila physics nilianguka.

Kwa sasa napata shida kusoma diagnose sheet na vipimo mbalimbali vya kidaktari ili kujua nini kinamsumbua mgonjwa na hitaji kupata course ambayo itaniwezessha kusoma hizo nyaraka ambazo zinaeleza historia ya ugonjwa ili niweze kujua hasa nini kinamsumbua mgonjwa kwa undani. Kwa sasa ninamsikiliza mgonjwa dalili ambazo anajisikia ili kutoa tiba kwake pia nina-link na marafiki ambao ni madktari ingawa wako busy wakati mwingine.

Ushauri wadau ni muhimu sana tukizingatia ukuaji wa hii sekta ya Afya. Pia nikipata dokezo la urasimishaji wa tiba asili nitashukuru.
 
Unatoa tiba ya mitishamba umesajiliwa?

Tuache hilo turudi kwenye mada yako, endelea kulink na hao madaktari waendelee kukupa madini, ila kama unahitaji elimu zaidi rudia mtihani wa PHYSICS ukifaulu tafuta chuo cha Afya cha PRIVATE kasome Clinical Medicine miaka miwili tu itakusaidia.
 
Thread ifungwe, sidhani kama kutakuwa na jibu la maana zaidi ya hili.
 
Unatoa tiba ya mitishamba umesajiliwa?

Tuache hilo turudi kwenye mada yako, endelea kulink na hao madaktari waendelee kukupa madini, ila kama unahitaji elimu zaidi rudia mtihani wa PHYSICS ukifaulu tafuta chuo cha Afya cha PRIVATE kasome Clinical Medicine miaka miwili tu itakusaidia.
shukran!
 
Cli

Clinical Medicine ni 3 years (nacte admission guide 2021).
 
Back
Top Bottom