Unapoana ktk maisha yako unakabiliwa na changamoto ambazo wewe binafsi unaonakuwa ndio kikwazo cha kufika ktk mafanikio basijua kua umepiga atua fulani ktk maisha hivyo jitahidi kupiga atuanyingine za kutengeneza mbinu za kutatua changamoto zinazokukabili.
Sent using Jamii Forums mobile app
Vitu vya urithi vinathamani kubwa sana kwa yule aliye viacha ata anapotoa kauli ya usiuze in wachache watakao itambua thamani ya hicho kitu hivyo ni vyema tuvitumie kwa kuviendeleza
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.