Recent content by jambia

  1. J

    JamiiForums Tanzania Ugonjwa wa Kuota Vinyama Sehemu za Siri (Bawasiri/ Hemorrhoids): Chanzo, Dalili, Tiba na Kinga

    Ok. Ndio Wakati mwingine hutokea na pia wakat mwingine tumbo kuunguruma!
  2. J

    JamiiForums Tanzania Ugonjwa wa Kuota Vinyama Sehemu za Siri (Bawasiri/ Hemorrhoids): Chanzo, Dalili, Tiba na Kinga

    Tatizo lilianza takribani miez2 iliyopita, niligundua wakati wa kuflash toilet. Inatoka dam fresh na hakuna maumivu yoyote wakati wa haja kubwa. Damu inatoka mwishoni kabisa wala haichanyiki na mzigo unaotoka!
  3. J

    JamiiForums Tanzania Ugonjwa wa Kuota Vinyama Sehemu za Siri (Bawasiri/ Hemorrhoids): Chanzo, Dalili, Tiba na Kinga

    Nashukuru king'asti..nimechukua ushauri tatizo japo hospital nshaenda na tatizo hili ni miez miwil sasa linaacha then back. May be nimpate dr competent na anayejali! Thnks again make naona wengine wanafanya ushabiki kwenye afya za watu!
  4. J

    JamiiForums Tanzania Ugonjwa wa Kuota Vinyama Sehemu za Siri (Bawasiri/ Hemorrhoids): Chanzo, Dalili, Tiba na Kinga

    Nauliza hivi tatizo la kutokwa na damu wakati wa kumalizia haja kubwa ni ugonjwa gani na unasababishwa na nini? Hali hii hunitokea walau mara moja ndani ya 24hrs. Pia tiba yake ni nini?
  5. J

    JamiiForums Tanzania Tecno m5

    Hiyo kawaida sana kwa hizo operating system! Kupunguza labda washa internet tu pale unapohitaji kuitumia.
  6. J

    JamiiForums Tanzania Ajali mbaya karibu na mizani ya Dodoma: Inahusisha Gari la JWTZ na Bus la Mohamed

    Ebu tujuze, mohamed trans ilikuwa inatoka wapi kuelekea wapi?
  7. J

    JamiiForums Tanzania Natafuta gx100 toyota cresta ya kununua kwa mtu

    Ninazo mbili na gx mark II moja. Karibu
  8. J

    JamiiForums Tanzania Msaada wa M-Pesa

    TIN huwa ni free kutoka TRA pia waweza jaza fomu online kupitia www.tra.go.tz. epuka mawakala uchwara!
  9. J

    JamiiForums Tanzania Msaada wa salary slip

    Mwajiri wako anajua? Mwandikie maana ni haki yako!
  10. J

    JamiiForums Tanzania Msaada wa salary slip

    Duh! Payslip au control sheet! ?
  11. J

    JamiiForums Tanzania TAMKO rasmi la Ndugu Zitto Z. Kabwe kuhusiana na kinachoitwa "Taarifa ya Siri ya CHADEMA"

    Nashauri mheshimiwa apinge dhidi ya takwimu zilizotolewa badala ya kutoa maelezo ya jumla. Mfano: tarehe fulani sikukuta na fulani sea cliff siku hiyo nilikuwa jimboni..., simu yangu namba fulani haijawahi kutuma mpesa kwa namba fulani ....n.k mbona ni mh ni mchambuzi mzuri wa mambo? Na kwa hili je?
  12. J

    JamiiForums Tanzania Tahadhari kwa wanaotafuta Ajira (Soma Tafadhali)

    Sina hamu na TCRA!
  13. J

    JamiiForums Tanzania Tahadhari kwa wanaotafuta Ajira (Soma Tafadhali)

    Ni tatizo la TCRA kushindwa kudhibiti usajili wa simu!
  14. J

    JamiiForums Tanzania Nyaisangah hakutendewa haki hata kidogo

    Ni nzuri ila inaboa!
Back
Top Bottom