Baada ya siku moja Mheshimiwa Rais kukutana na Prof Lipumba, kesi yake ikafutiliwa mbali. Kwa Maoni yangu hii kesi imefutwa kwa huruma ya mheshimiwa Rais.
Kinachonifanya nione haya ni kuwa hii kesi ilikuwa isikilizwe Jan 2016 lakini mara baada ya Prof kukutana na Mh. Rais ikabidi isikilizwe...
Magufuli ameifuta bodi ya afya ya hospitali ya Muhimbili na kumsimamisha kazi Mkurugenzi wa Muhimbili baada ya kutembelea hospital hiyo na kukuta Vifaa/vipimo vya MRI na CT-Scan hazifanyi kazi kwa kipindi Cha miezi 2 wakati MRI na CT-Scan za hospital za watu binafsi zinafanya kazi.
Ningependa kutoa wito kwa watu wote wenye nia njema na wazalendo kuacha kukaa pembeni na kulalamika na badala yake kujihusisha moja kwa moja katika kuibadili CCM na uongozi wake, kuweza kutoa uongozi thabiti na wa kuwajibika kwa nchi yetu. Ujenzi wa taifa huwa ni jambo gumu na kazi hii inaweza...
I hope this note has not been issued by a serious political party with a real chance of winning power in the forthcoming general election. The government is not bound to remain a shareholder in any company for ever and there is no economic argument to support the notion that remaining a...
Nimefurahishwa sana na hawa watu maarufu Tanzania kuwa mbele kwenye siasa za nchi yetu. Nimefurahishwa zaidi kuona wanataka mabadiliko ya kweli na sio bora mabadiliko..! Hongera Wema na Diamond.!
Nimefurahishwa sana na hawa watu maarufu Tanzania kuwa mbele kwenye siasa za nchi yetu. Nimefurahishwa zaidi kuona wanataka mabadiliko ya kweli na sio bora mabadiliko..! Hongera Wema na Diamond.!
Magufuri afurahisha kila anayekutana naye..! Watu wote wanampenda kwa uchapakazi, ujasiri, kuwa na msimamo pia kutokuwa na kashifa ya aina yoyote ile ya ufisadi. Kwa hali hiii ameweza kuvunja ngome ya chadema na kusimamisha nguzo imara ya ccm alipokuwa kasikazini.
Ni Kweli Dr John Pombe Magufuli ametokea kwenye familia ya kawaida kabisa kama wengi wetu watanzania tunavyoishi. Pichani, kutoka kushoto ni Marick Casian(Mtoto wa Dada yake Dr), Joseph Magufuli Michael (Baba wa Dr John Magufuli) na mwisho ni Michael Nyahinga (Babu wa Dr John Pombe Magufuli)...

Katika kile ambacho wachunguzi wa mambo ya kisiasa wamekiita tukio la kimapinduzi na mwanzo wa mabadiliko mapya ndani ya CCM, Mgombea wa Urais kwa ticket ya CCM Dr. John Magufuli amefanya kile ambacho Rais Jakaya Kikwete na Edward Lowassa wameshindwa, kumtosa Andrew Chenge hadharani...
Lowasa asituletee ya Sudan na Nigeria
Wana JF
Sikushangaa kabisa askofu Gwajima hakutumia hata dakika moja kumuonya swahiba wake lowasa kuhusu kauli yake ya kanisani tabora iliyokuwa na dhamira ya kuwagawa watanzania kwa misingi ya kidini. Badala yake gwajima katumia muda mwingi kusambaza...
Kwa hili la udini Lowassa ameisukumia Chadema kaburini
Edward Lowassa amewasaidia watanzania kwa kuwadhihirishia hofu yao ya siku nyingi. Kuwa ni hofu ya kweli kuwa chadema wakiingia madarakani wataigawa nchi kwa misingi ya ukanda na udini pia. Ajabu zimepita saa zaidi ya 72 uongozi wa chadema...

Hivi ni Lowassa huyu huyu anayewadhiaki watanzania?
Sikuamini masikio yangu nilipomsikia edward lowassa akiwadhihaki watanzania hadharani kuwa vyama vya TANU na CCM havijawasaidia lolote katika maisha yao. Tena kufuru hii ya lowassa kaifanyia tabora mahali ambapo baba wa taifa mwalimu nyerere...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.